TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Nilikuwa na demu wangu mmoja alikuwa ananitumia clip za huyo jamaa whatsapp mpaka nikawa sizifungui maana ilikuwa kero,hata hivyo nashukuru mungu tumeachana

Pumzika kwa amani mtumishi[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu akiwa na mambo ya kishamba kama kutuma tuma status za majungu Social Media kila mkikwazana huyo ni wa kuacha tu. Kazi nzuri mkuu hamna kuvumilia upuuzi 🤣🤣🤣
 
R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Mkila nauli zetu Sasa tunyamazetu

stidy
 
Demu akiwa na mambo ya kishamba kama kutuma tuma status za majungu Social Media kila mkikwazana huyo ni wa kuacha tu. Kazi nzuri mkuu hamna kuvumilia upuuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]et jamaa anashukuru
Waliachana[emoji3][emoji3][emoji3]

stidy
 
R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Amu

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
R.I.P

ᴴᵃᵗᵃ ᵏⁱᵖⁱᵐᵒ ᶜʰᵃ ᵐⁱᵐᵇᵃ ᵏⁱⁿᵃʷᵉᶻᵃ ᵏᵘˢᵒᵐᵃ ᵐᵏᵒʲᵒ ʷᵃ ᵐʷᵃⁿᵃᵘᵐᵉ "ᴾᵒˢⁱᵗⁱᵛᵉ"
Ee hilo sio la kushangaa. Kama umetoka kusex na mwenye mimba halafu hujajisafisha wala kukojoa, kwa vyovyote vile kwasababu ya contamination vipimo vitasema hivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inadaiwa alisumbuliwa na sukari mkuu, dah im so sad about the news. Sijui kwanini watu tunaowapenda ndio huondolewa mapema. I wonder man!
Wakati nyie mnawapenda wao wanapenda fedha zenu.
Chukueni hatua.
 
Rest In Peace comrade [emoji120]

One love
 
Alikuwa anaumwa nini kupelekea kifo chake

Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.

Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.

Mch. Mitimingi anadaiwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alikuwa akipanda mbegu mbaya kwa akina mama, ambayo matokeo yake ni kiburi kwa wanawake ndani ya ndoa.

Ni kama alikuwa alifanya women empowerment. Simsemi vibaya hayati, ila maoni yangu kumhusu ni hayo. That's why hata comment yako inasadifu alichokipanda kwako mkuu!

Mwanamke ni kumtii mume, na mume ni kumpenda mke, mkifaulu hapo ndoa inasimama for life.

RIP Dr Mitimingi.
R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom