TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Inaonekana demu alikuwa mpuuzi [emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dem hapo alikua anaona
Anamjenga jamaa kidin[emoji3][emoji3]
Jamaa nae anaona n mauza uza[emoji3][emoji3][emoji3]

stidy
 
Bwana ameleta, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

AMEN
 
Daaaa......acha mapenzi ya Mungu yatimizwe. Badala ya kufa mujitu km gwajima linaloeneza chuki za kikabila wanakufa waalimu na wachungaji wa maana?🤔🤔
 
Daaaa......acha mapenzi ya Mungu yatimizwe. Badala ya kufa mujitu km gwajima linaloeneza chuki za kikabila wanakufa waalimu na wachungaji wa maana?[emoji848][emoji848]
Mbona kipindi kile Gwajima anamtukana Pengo na kujiingiza kwenye siasa za chadema ulikuwa unajibinua binua kwa kushangilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa nilikuwa namsikiliza sana
nini tatizo kweli tuendelee kusali 😳 😷
sasa inabidi tufunge makanisa na misikiti yasipofungwa waumini wachukue hatua zaidi .......
 
Juz kaenda pangalile leo kaenda mitimimgi
 
Back
Top Bottom