mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Mi mwenyewe nilimpenda sana Mchungaji Mitimingi .Mafundisho mazuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nilimpenda sana Mchungaji Mitimingi .Mafundisho mazuri.
Fundisho la uongo hiloMara ya mwisho kumsikiliza alisema kama uchumba haujafikisha mwaka basi ni batili mnadanganyana.
Sijui kama nimekuelewa ila kwa nyakati hizi sio za kupeleka barua kwa binti ambae hata hujawai kuongea nae. Sasa ni 2020 ndugu.Fundisho la uongo hilo
Mtu unapoenda mchumbia mtu ina maana ulishachunguza kwa muda waa kutosha ndio ukaenda kuchumbia sio unachumbia ndio unajitia eti ndio unaanza safari ya kumchunguza!!!
Fundisho la uongo Hilo mtu akichumbia chap chap aoe haraka hakuna Cha ohhh tunachunguzana kilichokupeleka mbio mbio kuchumbia Niini wakati mtu humjui vizuri
Mabinti kataeni uchumba ambao hauelekei kwenye ndoa chap chap kidume kikijifanya ohh tuchunguzane kwanza kiulize kwa hiyo ulikuja ku beep?
Huko ni kupotezeana muda chumbia ukishamjua mtu vizuri sio unajitia kuchumbia halafu ndio unaanza safari ya kumchunguza!!! Fundisho la uongo Hilo na la kipepo
Uchumba iwe zamani au Sasa unachumbia unayemjua sio usiyemjua unayetaka kumjua baada ya kumchumbia!!!!Sijui kama nimekuelewa ila kwa nyakati hizi sio za kupeleka barua kwa binti ambae hata hujawai kuongea nae. Sasa ni 2020 ndugu.
Wachache wanaoweza kuficha tabia zao wengi unawajua kama utakaa nao angalau mwaka.
Unajua hawa akina mauki, twelve etc wateja wao ni wanawake hivyo wako biased sanaMkuu uko right na hata Hawa wanaojifanya washauri wa mapenzi km wakina Chris mauki, twelve, Irene mbowe wote wanaandaa mada nyingi za kuwaponda wanaume ..na wanajikusanyia wanawake wengi kirahisi
One love
Sijui kama nimekuelewa ila kwa nyakati hizi sio za kupeleka barua kwa binti ambae hata hujawai kuongea nae. Sasa ni 2020 ndugu.
Wachache wanaoweza kuficha tabia zao wengi unawajua kama utakaa nao angalau mwaka.
Mwenyewe naona aliongea uhalisia kwakweli, sema ukweli mchungu
Mkuu uko right na hata Hawa wanaojifanya washauri wa mapenzi km wakina Chris mauki, twelve, Irene mbowe wote wanaandaa mada nyingi za kuwaponda wanaume ..na wanajikusanyia wanawake wengi kirahisi
One love
Bro Code RulesHuyu ndo alikuwa anawakosha wanawake kwa kuponda wanaume? Au sio huyu?
Duuh hii kauli kuna dada aliisema jana baada ya kukutana na mtu mmoja kichaa,akasema "alipambana na mkewe walipopata pesa akamsaliti mkewe ndiyo maana amekuwa kichaa" wanawake inamaana mnalaana?R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
SijakuelewaHiyo RIP si huwa mnaikataa leo vipi tena??.Au we siyo wale wa kuliakulia na kuruka mapanga?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu ukiona mtumishi anapendwa na kufatiliwa na wanawake ujue anawafundisha negativities kuhusu wanaume.Huyu jamaa alikuwa akipanda mbegu mbaya kwa akina mama, ambayo matokeo yake ni kiburi kwa wanawake ndani ya ndoa.
Ni kama alikuwa alifanya women empowerment. Simsemi vibaya hayati, ila maoni yangu kumhusu ni hayo. That's why hata comment yako inasadifu alichokipanda kwako mkuu!
Mwanamke ni kumtii mume, na mume ni kumpenda mke, mkifaulu hapo ndoa inasimama for life.
RIP Dr Mitimingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu Mitimingi alikua sahihi.Uchumba iwe zamani au Sasa unachumbia unayemjua sio usiyemjua unayetaka kumjua baada ya kumchumbia!!!!
Ndio.maana wengi wanaooana unakuta wanajuana vizuri Kama kukua wote,kusoma wote ,kusali wote,kutokea Kijiji kimoja,kabila moja ,undugu ,kufanya kazi pamoja nk
Au wewe unaongelea uchumba wa kukutana na mtu kwenye Facebook na Instagram au jamii forums ambaye humjui na unamchumbia? Kama Ni huyo sawa