TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.

Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.

Mch. Mitimingi anadaiwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili na Kafariki saa Tisa za alasiri

Mchungaji Msaidizi wa kanisa hilo Samwel, amethibitisha. “alikuwa anaumwa Sukari ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali ikamsumbua”

Kaacha Mke na Watoto Wanne.
Si parapanda ipigwe tu tujue moja😪😪😪
 
Uko sahihi mkuu ukiona mtumishi anapendwa na kufatiliwa na wanawake ujue anawafundisha negativities kuhusu wanaume.
Huu upuuzi huwezi kuukuta kwa makasisi wa kikatoliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa, lakin makasisi wa kikatolik si hawaoi? Watajuaje mambo aliyokuwa akifundisha Mitimingi japo sikuwa fani wake?
 
Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.

Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.

Mch. Mitimingi anadaiwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili na Kafariki saa Tisa za alasiri

Mchungaji Msaidizi wa kanisa hilo Samwel, amethibitisha. “alikuwa anaumwa Sukari ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali ikamsumbua”

Kaacha Mke na Watoto Wanne.
😭😭😭😭
 
Labda alimaanisha whorehouse Google ikafanya autocorrect.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi kutumia Google kunitafsiria, nikisema Whorehouse najua na ndivyo lilivyokuwa kanisa lake, na yeye aliliita Warehouse kwa sababu alikuwa anawatumia wale mabinti kama vifaa vya kujikimu, hivyo majina yote mawili yanastahili hapo.
 
Kiama Kikikaribia ,basi watu wote wema wataanza kupukutika kwa spidi kubwa na hatimae watabaki watu waovu watupu.

Hapo wataanza kufanyiana mambo ya kifedhuli ikiwemo kuuwana ovyo, uasherati,wizi na dhulma,na uwongo kuwa ndio nyimbo ya taifa,mapato ya haramu ,na ulaji wa Riba wazi wazi.

Hapo Kiama kitawakuta watu wa aina hiyo wakiwa kwenye Uovu wao huo na starehe zao hizo chafu na wingi wa kulewa.

Majumba ya dini yatageuzwa Madanguro ya Mabintiwarembo na vijana watanashati wakiimba na kucheka huku wakiwa wingi wa matamanio na uzinzi ,usanii wa Maneno, huku watu hao wakimkebehi Mungu kwa kuwa ni waovu.

Miziki na madisko na Nyimbo za kila aina zitaimbwa humo wakiiminisha kuwa eti ndio sala sahihi kwa staili za Mipigo ya kidunia. Sio tena vile vinanda na vinubi.

Hapo Kiama kitawahalallikia watu wa aina hizo.
 
RIP mchungaji ,Faidi matunda ya kazi yako uliyoitenda huku duniani,Wala mungu asikulipe pungufu bali akuongezee tele na tele.
 
Back
Top Bottom