Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
To be precise it was a Whorehouse Christian Center, kanisa lilijaa vimwana sampuli ya wanavyuo! Historia yake aliyowahi kusema yeye binafsi kwa mdomo wake eti aliwahi kuuza maji mitaani kwa kusukuma mkokoteni huko Mtonimtongani Temeke Dar Es Salaam.
Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.
Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.
Mch. Mitimingi anadaiwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.