Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Hii pia haikuwa na haja. . . . . .
Kwani maana yakutumia fake ID nini??????
Wewe unataka kujua jina lake ili likusaidie nini?????
Nimetambusha habari za msiba wa Mgirik kwasababu ni rafiki yangu na ndugu yangu over.
Hakika siwezi kutaji jina la mtu hapa kama ambavyo siwezi kutaja langu, wewe ukitaka m-pm yeye mwenyewe akiona atakutajia ila mimi tafadhalii usinibebeshe mzigo.
Kwanu wewe ulivyotoa taarifa hii ulitegemea itatusaidia nini?
Ok. . . Poleni sana.Nilijua hivo kuwa haina haja, naniliamini maelezo yangu yalijitosheleza, lakini kuna watu watamani kuwajuwa watu kiundani sijui ili iweje???? nikasema labda anataka kuja kuhudhuria mazishi acha nimwelekeze.
Ok. . . Poleni sana.
Acha lipite kwa amani usiendeleze mabishano my dada
Yaani unaniita mimi mtoto? Haya poleni kwa msiba.Heeeeee!!!! we mtoto naomba pita, maana naona unataka kuniharibia mood.
Ok. . . Poleni sana.
Acha lipite kwa amani usiendeleze mabishano my dada
Yaani unaniita mimi mtoto? Haya poleni kwa msiba.