Pole sana sana Mgiriki bro.Niseme nini bwana,sina la kusema,ni wewe umetoa,ni wewe umetwaa jina lako lihimidiwe...R.I.P BABA..Member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.
Pole mkuu, Mungu akupe uvumilivu.​