Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 71
Mimi lulu nikimwonaga in person mwili huwa unasisimka kabisa kama nimeona jini. Nakaogopa sana kale katoto. Sana. Kuna kitu pale.
Halafu hashtushwi na kitu. Katakuja kaendeleze uchangudoa vile vile.
Na ipi tena funguka sie tunajua hii ya pili baada ya kanumba au!!!!!
Nashangaa anajuana hadi na kina diamond,pesa bwana,kwa kweli ni engneer aliefanikiwa
alikuwa ni mining engineer by professional, product za kwanza UDSM. Alisoma na wakina Samuel yule mkali ambaye alipata first class mwaka wao. Pia alikuwa ni Old boy, alipiga advance pale old moshi akitokea Mbeya.
Mzee d yupo nimemwona jana kuna mgodi mpya anasimamia mana nae alipunguzwa kazi kipindi kimoja n seki
Samweli yupo wapi?alimwoa dada mmoja anaitwa Nshomaalikuwa ni mining engineer by professional, product za kwanza UDSM. Alisoma na wakina Samuel yule mkali ambaye alipata first class mwaka wao. Pia alikuwa ni Old boy, alipiga advance pale old moshi akitokea Mbeya.
Mila za kabila gani?
Na acha ife tu.Sasa fikiria kama huyu ni mtu na familia yake, Komba naye...
Wasipojielewa na kutulia na wake zao nyumbani shauri zao.
Alikua best yangu sana nimefanya bae biashara hakua n roho ndogo
Hatimaye lile swali limejibiwa
View attachment 244017