Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 71
Mimi lulu nikimwonaga in person mwili huwa unasisimka kabisa kama nimeona jini. Nakaogopa sana kale katoto. Sana. Kuna kitu pale.
Halafu hashtushwi na kitu. Katakuja kaendeleze uchangudoa vile vile.
Mimi najiulizaga hivi Kesi yake imeishia wapi katoto kakavu haka!lol!