Wanabodi,
Mtanisamehe kwa kuchanganya chuzi hapo juu. Nilikuwa nataka kuandika swala la IPTL na sio swala la ndege. Kumradhini...utu uzima tena.
Nimeona picha lulu yupo kwake wanamfariji
Kweli dunia imevaa bukta
Michepuko ina mbwembwe
sasa hapo wajomba na kina baba mkubwa na wadogo wataanza kungalia mali,hawahusiki hata kidogo,ila mke nae angefight amzike hapo hapo kwake tegeta si wana eneo kubwa?wajomba wamepeleka msiba dodoma ili labda wafaidi rambirambi.Ila Seki ilikuwaje akakalia meza ikavunjika?mbona hizo meza huwa ni ngumu sana.wakati anakalia hiyo meza mke wake alikuwepo?
mdada ana miaka 36 hana mchumba na sio kwamba vidume havimtaki bali anajiona kwa uzuri wake angestahili kuwa na bilionea na sii kuwa na mkaka wa kawaida nayejiheshima mwenye kipato halali
mimi ni mcharuko kikweli ila nina mipaka ambayo zivuki hata kidogo,
najielewa kuwa lazma niwe na mwanaume wa kuwa mume wa kubembelezana na sio kupanikishwa na waume za watu.
Mme wa mtu staki mahusiano nkizidiwa tamaa ya fedha ni hit and run na sio ajiwekeze kwangu kuniharibia mume mtarajiwa
Acha Lulu aendelee na kampeni ya kutupunguzia malimbukeni ambayo yakishika hela kidogo tu yanataka kila mrembo wampitie wakiacha wake/wapenzi wao nyumbani.
hahahaaa hahaaaaaa
eeh MUNGU shuka leo maana kufuru zimezidi
na hapo ndo unapoona nguvu ya mke wa ndoa
msibani ht pua haweki
anaishia kujiliwaza home wapiiii
mke mke tu na kimada kimada tu
till death do them apart!!!
hahahaaaa karibu sana jijini best
ningekua sina kiapo cha baba askofu leo ningekutafuta nami nimrushe roho@Dinazarde@nifah na@Ms lincoln
Alizipata....ndio yakawa yanalia mbwata mbwata...
Ndio maana wanawake wa siku hizi wanataka mwanaume mwenye hela zake tayari.....
Unakaa na mtu...mnastruggle.... unajinyima...unakopa huko na huko huvai vizuri ukapendeza....
Ngoja zikubali sasa......huna rangi utaacha kuona.....
umeona eeh,yaani inauma sana,itakuwa alimdharau sana mke wake,ndo maana wana nguvu hadi ya kiweka vidani vya tanzanite kwenye insta.Kwa kweli alizidi
Sasa hivi nimehamia kwa Mange....
Ni mwendo wa kumchamba mtu mzima yule asiyekuwa na haya...
Waziwazi anatetea umalaya wa lulu kuchukua mume wa mtu...
Mfyuuu zake
hahahaaaaaNtampiga picha mzee w mbebezzz akiomba ofa kesho dom mapema tu
sijui lulu atakuepo
Alikuwa wa kujificha wapi
Hizo picha alizopigwa akiwa bar na lulu ndio alikuwa kajificha????
Huyo mwanaume alikuwa ni muhuni tu wala hakujificha.........
Mkuu, huwezi kuwepo maana alikuwa mwizi wa mme wa mtu.
Hiyo picha itakua alipigwa bila kujua istoshe mbna ni hiyo moja 2.amerudi dar mwaka jana june wakti yuko huko alikua anaonekana jmos mara chache sana.wkend lazma alikua aende kuangalia familiy yke dar
Lulu kaweka.msiba huko kwake
Kila mtu alijua anatembea na siri
Sasa siri gani hii ya kila mtu kuijua????
Hiyo weekend anaweza kuanzia kwa luku halafu akamalizia kwa mkewe vile vile
Ha aaaaaah very true wakome viherehere na kujifanya wanajua kukojolea kila papuchi simply kwa sababu Wana hela.
hahahaaaa karibu sana jijini best
ningekua sina kiapo cha baba askofu leo ningekutafuta nami nimrushe roho@Dinazarde@nifah na@Ms lincoln
shosti ni ngumu maana nna kiapo kitakatifu ndo nshashindwaKwi kwi kwi...akuachie basi hata tanzanite.
umeona eeh,yaani inauma sana,itakuwa alimdharau sana mke wake,ndo maana wana nguvu hadi ya kiweka vidani vya tanzanite kwenye insta.Kwa kweli alizidi