Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Hamna anaependa.... basi tu wengine hawaweki wazi hisia zao

Nani anayependa upuuzi.Mimi mwenyewe hapa nawazia hiyo mbinu ya Fundisi Muhapa.
Ni kama nikifanyiwa hivi alivyofanyiwa huyo mke wa marehemu lakini.Sitoweza kuvumilia.

hhahaaahaaa
kiukweli yanaumiza sema mwingine anakua hana jinsi tu ndo anavumilia
anakufa na tai shingoni
akifa km hv ndo unashukuru MUNGU bora kafa
una relax life linasonga!
 
Last edited by a moderator:
hhhahhaaaa eti uhamie jengo la serikali
kweli kabisa ht mi staki kumiliki cha moto ht dkk zero

maana dah!!hapana kwa kweli

mi nimemuambia sisy hizo picha ungenrushia nisambaze kwenye magroup ya whasap yoooteee

shenzzzyyy zake

Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.

Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.
 
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.

Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.

hhhahaaaaahaaaaaas
hhhhaaasjhhhaaaahaaaassss
hhhhhaaaahhhhaaahhhaaas
asante jf!!!nimecheka sana!!
 
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.

Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.

Hahahaaa
 
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.

Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.

dodoma hotel sipataki
nataka pale pale nyuma kwetu st.gasper ndo pazuri haaaaswaaaa!!
 
dodoma hotel sipataki
nataka pale pale nyuma kwetu st.gasper ndo pazuri haaaaswaaaa!!

Usijali tutaenda, kwa idadi ya siku unazotaka. Usisahau zile frem, moja nakuwekea vifaa vya saloon high class. Love you much
 
Usijali tutaenda, kwa idadi ya siku unazotaka. Usisahau zile frem, moja nakuwekea vifaa vya saloon high class. Love you much

hahaaaa hhaaa
si unakumbuka last yr nilikuambia nataka kufungua saloon miongoni mwa zile frem zetu?
aisee nakupenda sana na mie my husband mmmwwwaaahh
nimekusamehe kila kitu..
 
Mfadhili ndo huyo hayupo tena, sijui watu wataishi vipi mujini. Shughuli tena si ndo mpaka instagram watu wamefunga.
 
Hivi ni "bleeding" au "blinding"?
 
Poor her she looks dejected for the loss of her mchepuko

I hope the baby she is expecting is his? πŸ™‚
Hivi haka kajinga ni kweli kameweka msiba kwake!!! nilifikiri ni stori za mitandao . Hapo ndio kataelewa tofauti ya mke na mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…