Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Wengine si kenge...... ni mamba watoto.....
hhhaaaahhhaaaahhhaaaa
hupendagi upuuzi yaonesha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine si kenge...... ni mamba watoto.....
hhhaaaahhhaaaahhhaaaa
hupendagi upuuzi yaonesha!!
hhhaaaahhhaaaahhhaaaa
hupendagi upuuzi yaonesha!!
Hamna anaependa.... basi tu wengine hawaweki wazi hisia zao
Nani anayependa upuuzi.Mimi mwenyewe hapa nawazia hiyo mbinu ya Fundisi Muhapa.
Ni kama nikifanyiwa hivi alivyofanyiwa huyo mke wa marehemu lakini.Sitoweza kuvumilia.
hhhahhaaaa eti uhamie jengo la serikali
kweli kabisa ht mi staki kumiliki cha moto ht dkk zero
maana dah!!hapana kwa kweli
mi nimemuambia sisy hizo picha ungenrushia nisambaze kwenye magroup ya whasap yoooteee
shenzzzyyy zake
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.
Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.
Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.
Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.
Nani anayependa upuuzi.Mimi mwenyewe hapa nawazia hiyo mbinu ya Fundisi Muhapa.
Ni kama nikifanyiwa hivi alivyofanyiwa huyo mke wa marehemu lakini.Sitoweza kuvumilia.
Mungu na akuepushe na hayo madhila.
dodoma hotel sipataki
nataka pale pale nyuma kwetu st.gasper ndo pazuri haaaaswaaaa!!
Usijali tutaenda, kwa idadi ya siku unazotaka. Usisahau zile frem, moja nakuwekea vifaa vya saloon high class. Love you much
Mkuu kuna kioo kilimtoboa shingoni kwa nyuma kwenye mshipa ndio blinding ikawa kubwa ila ukiwa na imani zilee unaweza amini.bt ni ajali kma ajali zingine mama alinde mali tu mana mabazazi yameshajua ana hela yataruka nae yammalize.istoshe cheating imekua ki2 cha kawaida kwasasa c wamama,wababa,vijana wote full burudani.
Hivi nani hataki kukaa nyumba nzuri kudrive gari nzuri mpka wake za watu wanahongwa magari.kuchepuka hakujaanza leo ila hii ya lulu imechangiwa n mitandao n ulimbukeni wa hivi vinuka mkojo tu.angekua anadate mtu wa 35yrz usingeona huo upuuzi.kuna mdada kadate nae mda n msomi tulikua tunajua watu w karibu n ndio amefaidika n nyumba
Poor her she looks dejected for the loss of her mchepuko
I hope the baby she is expecting is his? 🙂
kumbe ndo kabaya hivyo?marehemu alikuwa anahonga mpaka vogue kwa kademu kabaya hivi,kumbe picha za filter zinaficha mengiPoor her she looks dejected for the loss of her mchepuko
I hope the baby she is expecting is his? 🙂
Hivi ni "bleeding" au "blinding"?
Poor her she looks dejected for the loss of her mchepuko
I hope the baby she is expecting is his? 🙂
Hivi haka kajinga ni kweli kameweka msiba kwake!!! nilifikiri ni stori za mitandao . Hapo ndio kataelewa tofauti ya mke na mchepuko.Poor her she looks dejected for the loss of her mchepuko
I hope the baby she is expecting is his? 🙂