TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

Ugonjwa wa Kisukari ni wa hovyo sana. Yaani kuiacha dunia kimasihara ni rahisi sana hasa hiyo pale kiwango cha sukari kinaposhuka chini ya 5 mwilini mwa mgonjwa. Apumzike kwa amani Kamanda wetu.
 
Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima ili kuepuka maambukizi ya virusi vya CORONA. Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu....
... hii statement huwa siielewi! Marehemu alikuwa mfanyakazi ofisini; angewezaje kutokwenda ofisini ili abaki nyumbani? Vivyo hivyo kwa wafanyakazi wengine? Tusiwatwishe wananchi mizigo ambayo hawawezi kuibeba tafadhali!
 
Mungu awape faraja wafiwa wote.

The plane has taken off!!
 
Jina ni "Pendo" lakini sura inayoonekana ni ya kiume.

Ooh, labda mimi ndiye inawezekana nilikuwa sijui kuwa jina la PENDO ni bisexual name, halichagui jinsia...!!

Poleni familia kwa msiba huu, Bwana Mungu Yehova awape faraja kuu...!!
 
What are the possible causes of hypoglycemia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…