secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ni Kweli.Mungu anisamehe!
Ila naona angalau waliokalia bench wanakwenda kupata pa kujishika
Mbona picha ni ya mwanaume?Ni changamoto ya upumuaji.?
RIP Pendo.
Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini.
Taarifa rasmi za kilichomuua hazijatolewa.
Usikute fitina za wahamiaji haramu na ishu za 2020Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini.
Taarifa rasmi za kilichomuua hazijatolewa.
Inabidi sasa serikali itafute suluhisho ya hili tatizo jipya la upumuaji kwani wameamua kuhamisha magoliApumzike mahala pema.
"Dunia inapambana na covid-19, wengine tunapambana na tatizo la upumuaji".
Mungu tupe ujasiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wasizidi 10 tu, na kusimamiwa na serikali.Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima ili kuepuka maambukizi ya virusi vya CORONA. Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu....
Niko chombingo moja napiga kvantOh Lawd!
Kuna huduma huko? Au ukienda unakimbiwaEpuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima ili kuepuka maambukizi ya virusi vya CORONA. Kwa maelezo zaidi Piga 199 au 08001100124 kuongea na muhudumu....