TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Hiiyo opp kwa tanzania lazima uwe kilema au ufariki,mana hakuna wataalam na vifaa madokta wetu wanafanyia miili ya wagonjwa mazoezi.nina rafiki alifanyia opp hiyo muhimbili yani ilikua balaa.
Ilibidi tuchange apelekwe nairobi ndio akapona bt maumivu anapata hadi leo.

Nairobi walisema mfumo uliharibiwa na madokta wa muhimbili walivuruga au kukata mshipa mungu ni mwema anatembea ila kwashida muda wote yuko kwenye gari
 
I can imagine kaka!
Kuna mshkaji wangu alifiwa na mke wake. Mpaka hivi leo hajawahi kuoa tena. Alimpenda sana mkewe. Mpaka leo ameshindwa kusahau. He is lost!
 
Mnaojiunga fremason angalieni sana athari zake kubwa kuliko mjuavyo
 
I can imagine kaka!
Kuna mshkaji wangu alifiwa na mke wake. Mpaka hivi leo hajawahi kuoa tena. Alimpenda sana mkewe. Mpaka leo ameshindwa kusahau. He is lost!
Sure kama umewah kufiwa na mtu wa karibu, ni rahis ku feel ile burden mtu anakua amebebeshwa moyoni.

Iahu ya mke ni delicate sana.Na huyo jamaa anahitaji msaada wa haraka vinginevyo anaweza akawa na siku chache au akaharibikiwa mazima
 
Apumzike kwa amani.. Amepambana mpaka mwisho
 
Mama Kanumba anaweza kumkufuru Mungu lakini kwenye imani unamshukuru kukupa watoto na kuwa na nafasi ya kuwalea.
dah niliona mahojiano yake huyo mama amekata tamaa ya maisha kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…