TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

FakDelta

R. I. P
 
Bora lingetajwa jina lake kamili na wapi alipofia..

Unaweza kukuta huyu mtu mnajuana mtaani na uko msibani kwake huku unasoma hapa JF kama msiba mwingine..

Binafsi Niko msibani hapa mbezi wa mtu mwingine but nikawaza what if?
Kwakuwa alichagua kuwa anonymous kwenye maisha yake JF halitakuwa jambo la busara labda kwa kibali cha ndugu zake ama Gallius anaweza kutupa muongozo kwenye hili
 

Apumzike kwa amani mja wa mola huyu.
 
Duh RIP mate...poleni sana ndugu,jamaa na rafiki wa mwenzetu alietangulia. Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
 

Sijaona post yake kwenye huo uzi for the last 4 days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…