TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

Mungu atujaalie Mwisho mwema, may his Soul rest in Eternal Peace🙏
 
Dah!

Kifo ni fumbo moja kubwa sana...

reposar en paz
 
MUNGU awatie nguvu ya kuhimili hilo wale wote wa karibu yake walioguswa na msiba.
 
moyo wangu unabubujika machozi,eh Mungu turehemu.
 
R.i.p
Na mara ya mwisho kuonekana ni jana daah. Kifo ni fumbo kubwa hata hakujua ndio final day yake.
 
Pumzika Kwa Amani Ndugu Yetu...
Inaumiza..
Tu mavumbi na mavumbini tutarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…