ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Original Post naona nani katembelea uzi na muda gani!
Was there
Una maana aliyefariki ni Lucas Mobutu?siku hizi kuna IDs zinabadilishwa ila content zao zinakuwa zile zile na huyu mwenye id hii ni muda sijakutana naye humu.My God jana tu tulikua nae kwenye mada hii..
Mungu amjalie pumziko jema la milele, Death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind [emoji3064] [emoji3064] [emoji3064]
Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?
Salute mates... Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila...www.jamiiforums.com
Hapana sio yeye, itakua link nilivyokopi inadirect kwenye comment ya LM.Una maana aliyefariki ni Lucas Mobutu?siku hizi kuna IDs zinabadilishwa ila content zao zinakuwa zile zile na huyu mwenye id hii ni muda sijakutana naye humu.
Link uliyo-copy hapa ina post ya Lucas ndo maana nimekuuliza!
Daa kifo hakipigi hodiMy God jana tu tulikua nae kwenye mada hii..
Mungu amjalie pumziko jema la milele, Death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind 🥺 🥺 🥺

Amina