TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

Inna lillah wainna ilayhi raajiun
 
Aisee pole sana kwake sijui uchungu wake uooje nilifiwa tu na mtoto tumboni 7 months sikuwa sawa kwa kweli nikawa nalia naona navurugwa NIKAMUOMBA Dr kwa Usalama wa Afya yangu bora nibebe mimba haraka Dr akakubali ila niwe kwenye uangalizi Allah akanijalia very cute handsome baby boy, Mwenyeezi Mungu ndio anaetoa na kuchukua basi atawapa watoto wengine πŸ™
 
Pole kwa uliyopitia. Hongera pia.
 
Very sad 😭😭😒😒
 
Tunamtakia Pole kwa msiba mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…