Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Inna lillah wainna ilayhi raajiunSiku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.