TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

Kw Kwani alipowazaa aliesema yeye?habari alileta member mwingine na msiba hivyohivyo.,,,acheni kuendelea kuumiza wenzenu wanapokuwa kwenye maumivu.....Inakugharimu nini ulimi wako kufanyika faraja kwa wenzio?au Kuna faida gani ulimi wako kufanyika shubiri kwa wenzio?.....Not good
 
Siwezi kuwa shubiri kwa kuhoji sababu za vifo.

Ina maana waombolezaji watakaokuja msibani hapaswi kuuliza vifo vimetokeaje manake ataambiwa ni shubiri kwa wafiwa ? Wala MC wa msiba hatatoa maelezo ya historia ya watoto kuugua mpaka kufa ? Ni kimya tu ? Basi utakuwa msiba wa wachawi. Wamewatoa watoto kafara kutafuta utajiri wa U-freemason. Na ingekuwa Ulaya wazazi wangekuwa prime suspects, serikali ingetaka kujua what the hell happened to the poor kids.

Kuwaenzi hao watoto ni kutafuta nini kilichowaua, sio kuwa silence wanaohoji. Ten freaking pages of thoughtless condolences and commiseration that do nothing toward understanding the cause of death or, if possible, prevention of such incidents. Demonstrably ignorant society.
 
Ustaarabu sio kiingereza rafiki,Bora wajinga wanaonyamaza kuliko mropokaji anayeropoka chochote akiamini kastaarabika.
 
Ustaarabu sio kiingereza rafiki,Bora wajinga wanaonyamaza kuliko mropokaji anayeropoka chochote akiamini kastaarabika.
Huu sio mjadala kuhusu matumizi ya lugha ya Kiingereza, hiyo ni lugha tu kama Kidengeleko.

Ustaarabu wa kuogopa kuuliza watoto wamekufaje ni ulemavu wa akili.

Mtoto mchanga akifa wakati anazaliwa by law kunafanyika uchunguzi kwenye hospitali za Halmashauri. Wamekufa kufaje. Sasa kama serikali inajali kufuatilia kichanga kilichopoteza maisha kwa nini sisi uraiani tunapofiwa na vichanga tusihoji sababu ?

Wazazi watoe maelezo ya mazingira ya vifo vya watoto. Vinginevyo watoto wafanyiwe postmortem exams kabla ya mazishi. Tunatumia kodi kufanya colorectal exams ku solve jinai za ushoga, hapa kuna possible crimes of negligent, if not premeditated, homicide. Exponentially more serious issue.
 
Kwanini uliwaatack Wazazi wametoa watoto kafara?unaweza pima uzito wa maneno yako kwa mzazi aliyepoteza mtoto?unajifanya mjuaji huku unaamini upuuzi wa freemasons?huna ulijualo dada.....hebu stop kunitag maana hujitambui
 
Kwanini uliwaatack Wazazi wametoa watoto kafara?unaweza pima uzito wa maneno yako kwa mzazi aliyepoteza mtoto?unajifanya mjuaji huku unaamini upuuzi wa freemasons?huna ulijualo dada.....hebu stop kunitag maana hujitambui
mbona unaendelea kuni quote kama hutaki ku engage na mimi ?

sio mimi nilietoa watoto kafara, ni nyinyi mnaokataa sababu ya vifo kujadiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…