TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

R.I.P ni kati ya watangazaji walionifanya niamini kuwa mtangazaji wa radio ni kipaji.
 
 
Nikumbushe hadithi moja nione kama ulikuwepo....usije na ua jekundu au akajasembamba maana hizo ni za majuzi tu
Hivi Ile hadithi ya adili na nduguze ni yeye pia ndio alisimulia sio, na Ile ya chura binti mfalme je
 
Wewe mwana jf unayeitwa mwasu,, mungu akusamehe unasema ni kifo cha kujitakia, jifunze kuona/kutafakari jambo kwa 3dimension,, usiwe mtu wa, 1dimension.
 
R.I.P

 
Umenena pwenti tamu sana.

R.I.P Dumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…