TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

Marehemmu, Salla Dumba, Ahmed Kipozi, Bety Mkwasa, Shabani Kisu, na kuna mwingine nimemsahau mwenyeji wa maeneo ya Masasi kule Mtwara. Inawzekana wapo wengine ambao nimewasahau.

Hivi wote hawa waliteuliwa kipindi cha Jakaya?
 
R.I.P Sara Dumba daima tutaukumbuka mchango wako katika Taifa letu
 
Una point kwa kweli... Fikiria leo hii Anna Abdallah bado ni mwenyekiti wa bodi ya Korosho.
Hahhhhah nadhani mzee wangu aliwahi kuniambia ana abadallah alikuwa mkuu wa mkoa wa ntwara wakati yeye anaingia chuo leo mzee amestaafu nadhani miaka6 imepita
 
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
UMEPIGA PENYEWE.
 
Marehemmu, Salla Dumba, Ahmed Kipozi, Bety Mkwasa, Shabani Kisu, na kuna mwingine nimemsahau mwenyeji wa maeneo ya Masasi kule Mtwara. Inawzekana wapo wengine ambao nimewasahau.


kuna yule wa MOSHI mjini,, somebody makunga????
 
Kweli kabisa mkuu ni kitambo sana huyu mama alitakiwa awe amestafu kupumzisha mwili aisee
Kabisa mkuu, jaji Lubuva nae sasa ni wakati wa kukaa pembeni, maana Jaji anakaribia 80 sasas, sijui watapumzika lini wale pensheni zao chini ya vivuli huko ufukweni.
 
Huo ni uvivu wako tu ktk kufikiri!
Kwani umri wa kustaafu ni upi?
She was strong na alikuwa akipambana ktk maisha bila ya shida!
She was less than 70, na wengi ktk umri huo huomba wawe na activities ziwafanye waishi! Ukistaafu Bongo na kukaa home utakufa mapema zaidi!
Basi hakuna sababu ya kustaafisha watu umri ukifika, waondoke kwa kupenda na hizo ajira ziwe zao za kudumu sijui vijana watafanya shughuli gani.
 
Hata mkuu wa mkoa keshasema sababu ni majukumu mengi, kesho wiki ya maji mama kji overdose kazi, huku woga wa kutumbuliwa pia
Halafu kuna mtu anatetea eti mtu ukistaafu ndio utakufa mapema, kifo cha mapema kitakukuta kama hukujiandalia masiha ya uzeeni, lakini kama unajua kuna kesho lazima uandae mazingira ya kesho.
 
Una maana gani kusema vifo vya kujitakia? Msiba ni issue nyingine siyo jambo la kuleta utoto.
Hukumsikia mkuu wa mkoa akisema sababu ni kazi nyingi, na harakati za kuandaa wiki ya maji zimechangia kuongeza wingi wa majukumu kwake? Mpaka presha imepanda lazima mwili umechoka kwa umri wake kuna kiasi cha majukumu, unaelewa sababu ya kustaafu? Au unafikiri ni kupisha tu mtu mwingine kwenye nafasi yako? Wewe ndio um ewaza kitoto.
 
HAHHAHHAHA.mkuu nakumbuk mwaka92 naanza la.kwanza huyu.mama ni mtangazaji mtu mzima sio kabinti sasa leo karibu miaka30 bado kweeeli yupo kazini
Ni shida sana mkuu, mie tangu napenda cheichei shangazi mpaka leo na mie naitwa shangazi, yeye anafanya kazi tu! Hawa atu sijui kwa nini hawataki kupumzika makwao wanafikiri shilingi inakamatika ukishindwa ujanani, uzeeni ukiitafuta lazima ufe gafla.
 
Back
Top Bottom