Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Eeee na wanaume ni ngumu sana kupata HIV kama unamuandaa mwanamke vizuri,,na ukihisi hapa nooma na umepiga kavu kimbia kaoshe dudu yako na sabuni harakaIla hata ukizini na mtu wenye vvu kwa mara ya kwanza na kama ulimuandaa vyema chance ya Kupata ukimwi ni 0.098%
Dansa gani jamaniYule dancer ndiyo ulimpukutisha kabisaa...
Ukisoma hapo jamaa wanakuambia ni ngoma ya kulogwa.....Nini chanzo cha kifo chake?
Aliumwa jamani.kwanini hawakumpa dawa? Niliumia sana.alomwambukiza ana dhambi sanaYule dancer ndiyo ulimpukutisha kabisaa...
Huyu dogo alifanikiwa kupata watoto?Mke wake wa kwanza tumesoma nae yule dada so ugonjwa wa huyu kaka naujua kidogo.
Sio busara nikiuongelea.
Ndio maana natembea na detergent kwenye gari.....Eeee na wanaume ni ngumu sana kupata HIV kama unamuandaa mwanamke vizuri,,na ukihisi hapa nooma na umepiga kavu kimbia kaoshe dudu yako na sabuni haraka
Septrin ni dawa mojawapo na huwa inatumika kwa watoto (inasaidia watoto wasiambukizwe) lakini wanakuanzishia ARV kabisa na zipo aina tofauti tofauti ili upambane na uambukizo mapema Mama SabrinaOooohhh sawaa lakin ukimwa wa mwanzo si unakuwa sio mkali inabdi wakupe nini zile septlin sijui
mbona anadai ilikua T.B....anasema eti alipima hadi UKIMWI hakukutwa nao...Yule dancer ndiyo ulimpukutisha kabisaa...
Sawa jamaniSeptrin ni dawa mojawapo na huwa inatumika kwa watoto (inasaidia watoto wasiambukizwe) lakini wanakuanzishia ARV kabisa na zipo aina tofauti tofauti ili upambane na uambukizo mapema Mama Sabrina
Well said mkuu.Ukimwi unaua... ni wazi marehemu alichelewa kuanza kutumia ARVs kwa kuamini kuwa sio ukimwi bali amerogwa....pengine alikuwa na zunguka kwa waganga tuu badala ya hospitali... ni wazi alifungiwa ndani tuuu...
Lazima sote tujue UKIMWI upo na unaendelea kuuwa....
Tb ya mifupa .aliumwa hadi nikaona hurumambona anadai ilikua T.B....anasema eti alipima hadi UKIMWI hakukutwa nao...
We siku ile ulinidanganyaaa eeee eti oooh niliambukizwaa weweeeeNdio maana natembea na detergent kwenye gari.....
Baada ya kuloweka kwenye nani naizamisha kwenye kidumu cha detergent na maisha yanaendelea.....
Hata hivyo ngozi ya dudu kuchubuka kazi kwelikweli ndio maana prevalence kwetu iko chini [emoji846][emoji846][emoji846][emoji38][emoji38][emoji38]
mh ya mifupa tena? i thought ni ya kawaida tu...mana alisema dawa anachukua hospital bure...Tb ya mifupa .aliumwa hadi nikaona huruma
Mkuu ukimwi umerudi Kwa kasihuo ukimwi unao tajwa kuwa uepungua kasi na bado uko, na watu wanasema vidonge vidonge mbona bado janga sana
Kuna wakati inabidi ujitoe ufahamu kuwa huna ili maisha yaendelee....We siku ile ulinidanganyaaa eeee eti oooh niliambukizwaa weweeee
Madansa wana mambo ya ajabu,,,yani wao ngono zembe ndo fasheni kwao,,sasa hata dawa sidhani kama alizingatia na usikute alipima late, mana alikua kashaisha kabisaa maskiniAliumwa jamani.kwanini hawakumpa dawa? Niliumia sana.alomwambukiza ana dhambi sana