TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Kufa sio ajabu lakini nina wasiwasi na maisha ya hawa vijana wetu. Leo utasikia anatoka na fulani kimapenzi ambaye huyo fulani alikua na fulani kimapenzi. Kesho utasikia tena baada ya kuachana na fulani sasa hivi anatoka na fulani ambaye alikua wa fulani, ambaye huyo fulani alimtuhuku mpenzi wake kutoka na fulani. Pole sana.
 
Kweli kifo hakina huruma,

Hivi huyu jamaa si alihamia Kenyan, Nairobi, na huko alikuwa akiendelea na kazi yake ya music nk
 
Inna Lillahi wainna Illaihi Rajiuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…