TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Sio kila anaepata maambukizi anakufa, chance ya kupona ipo pia.

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Ni kweli ameshang'ata shuka
 
Unafahamu uchungu wanaouopata wananchi juu ya TBC kupendelea CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…