TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

HATA Mmoja..na kama kuna yeyote ananijua humu
Baas namzawadia kiwango kinono cha FEDHA.
Taja kiwango boss wangu, watu wamwage data zako hapa! Ukisema FEDHA tu, unakuwa non-committal!😀😀😀
 
Rip mzee

Kuna uzi humu uliwahi jadiliwa kitambo kidogo
'Ni jambo gani baba yako aliwahi kukufanyia huwezi kusahau.
Nakumbuka kwenye uzi huu dada HS alitiririka sana kumshukuru baba yake nimeshindwa kuuweka msaada plz mnisaidie kuuweka
 
RIP baba eetuuu
 
polen sana wafiwa mungu awape faraja kipindi hiki kigumu kwa wale mlio nae karbu mtuwakilshe familia ya jamii forum
 
Poleni wafia...!

Tunaomba location za ulipo msiba, au taratibu za msiba ili nasi tushiriki
 
Mkuu bado nafanya nae mawasiliano zaidi. pale atapokuwa tayari nitawapatia no zake za sm.

ila msiba uko Mkoani Mbeya.
Mkuu nadhani hakuna ulazima wa kuweka namba zake hapa.. Au hata yeye kutoa namba hakuna ukazima .. Cha kufanya ni sisi tukubaliane na mods sijui wana taratibu gani tumpe pole mwenzetu.
Hapa hatujuani ndio maisha yetu ya livyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…