View attachment 892221
Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam
Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika studio za B’ Hitz Record.
Kul nafs dhaarika tul mauti. Nyuma yako mbele yetu.
Upumzike salama .
Hahahaha, yes other wise mnakufa woteKama haupo mbali na ufukwe...unamuacha kwanza anywe maji ndio unamvuta pwani...other wise
Sijajua kuhusu hilo ila wajuzi wa mambo watatuambiaHivi bahari si ina chumvi nyingi, hiyo chumvi haina madhara kwenye papuchi kweli?
Mkuu haswa katika hilo swala la kubanwa kwa misuli.Kinachowaua waogeleaji wazuri kwenye maji....ni njaa kama wamekwama mbali na makazi!!!...
Mawimbi makubwa yanayochosha mwili.....
Na kushikwa na misuli Yaani ndio baharia anakufa huku anajiona!!!....usiombe ushikwe na msuli ndani ya maji....unaweza kufa hata kwenye kina kifupi cha maji!!.,,,,
Na hili tatizo huwapata waogeleaji wanaokaa muda mrefu mbali na maji!!!...
Just In: Taarifa zilizotufikia hivi punde, Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama mafia, amefariki kwa ajali ya kuzama na maji kisiwa cha Mbudya. Taarifa zaidi zitafuata.
Aisee .so sad .. gone too soon pancho latinoProducer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama mafia, amefariki kwa ajali ya kuzama na maji kisiwa cha Mbudya.
Nahisi alionja na ulabuIla Pancho Mbudya alikua anaenda Sana. Yeye na Hermy michezo ya Maji wanaipenda Sana. Siku yake ilifika tu
Alifanya nini huyo Masiaga?Ikifika siku ya kufa hata kama mtu ni mtaalamu kiasi gani maandiko yatatimia tu. Hii inanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masiaga.
Kuna chunusi mkuu, kumbuka mwisho wa mwaka huuTafuta siku nenda kaogelee kichwa kichwa ndo utaelewa inshort mimi nimenusurika pale
Kutoka katika instagram page ya clouds FM wameripoti kifo hicho kilichotakana na ajali ya kwenye Maji katika kisiwa cha Mbudya..
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina LA bwana lihimidiweView attachment 892134
umemsahau dully sky's yeye ndiye alivumbua kipaji cha pancho Awali pancho alikuwa anafanya kazi dhahabu rec. kabla hajasainiwa na hamie B pale B hit'sDah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
nimewahi sikia hizo fununu pia", but sijawahi pata uhakikishoHicho kisiwa si ndio wanasema Ay kafanya investment
kweli mkuu...Kitu kikubwa kwenye maji ni kurelax....ukitulia kama maiti utaelea zaidi ya boya!!.
Nifundishe kuogelea basi niwe naogelea hata Coco bichiNimekulia Mikocheni B, mita kadhaa kwenda baharini na nilikua naenda sana kwa mzungu mmoja wakuitwa Grabu ( mtoto wa Jane Goodhal) jamaa mvuvi ana boti za uvuvi , alikua anatufundisha kuogelea ,maji ya bahari si mchezo ,MTU haokolewi kirahisi rahisi km afuati maelekezo ya anaye kuja kumuokoa
then unaweza ukawa unajua kuogelea lakini ukawa huna pumzi za kutosha".. pumzi nikiungo muhimu mnoo kwenye uogeleajiKuna tofauti ya kujua kuogelea na nguvu za mtu.
.
Unaweza kuwa na skills, lakini ukakosa nguvu ya kustahimili muda mrefu kwenye maji au kuogelea umbali mrefu.
Pia, kama bahari ikiwa si shwali, utafurahi tu