billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 860
- 898
Mbudya totoz na kwa bata kuzuri,ila binafsi nakushauri nenda bongoyo mie bongoyo nishaenda sana ,ila mbudya Mara moja niliyoenda nilikua mpole kisiwani nawaza kurudi tu
Mkuu bongoyo ndo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbudya totoz na kwa bata kuzuri,ila binafsi nakushauri nenda bongoyo mie bongoyo nishaenda sana ,ila mbudya Mara moja niliyoenda nilikua mpole kisiwani nawaza kurudi tu
Nimeenda mara mbili kwa kupandia open beach ila boti zile sio salama,wakti wakurudi mnajazwa kama daladala la mbagalaUsiku Mimi hunipeleki pia naogopa..hata kukaribia..
Mchana ntacheza but kuoga nehiii
Katika hivyo visiwa nitaenda bongoyo tu,hy mbudya nikiona mziki wake wakati wa kurudi siendi tenaWatu wasivyo waoga weekend kama kawa wataenda, Ben pol alinusurika huko mbudya sijamuona tena akienda.
MabesteDah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
Ndiyo wanawapeleka kwenye maji marefu,wanawatishia kuwaacha wanaogopa inakuwa ndiyo njia ya kuwapiga ukuni.Nasikia Masela wa Coco wanawakokolisha sana mabinti wanaofundishwa kuogelea 😀😀😀.
Kwa kweliAcha tuendelee kuwa washamba
Duh!mi ningeshuka aiseehh!!nilivyo muoga hivii na maji halafu mnijaze kama nyanya..hapana aiseeNimeenda mara mbili kwa kupandia open beach ila boti zile sio salama,wakti wakurudi mnajazwa kama daladala la mbagala
Bongoyo ipo wapi? Sipajui huwa napasikia tu.Katika hivyo visiwa nitaenda bongoyo tu,hy mbudya nikiona mziki wake wakati wa kurudi siendi tena
Pumbavu zakoAY kashatoa kafara..
Kingine nadhani wanakuwa washakunywa mipombeNi kisiwa ambacho kina mkondo mkubwa wa maji kasi,lakini sehemu inayoanzia mkondo huo kuna bango kubwa limewekwa kuwataadhalisha waogeleaji wasikaribie eneo hilo kuna maeneo salama yaliyoelekezwa kwa waogeleaji,tatizo waendajii wengi wa kule wakifika kwa good time hawana muda wa kusoma mabango na kufuata sheria bila shuruti kama kawaida yetu wa Tezee.
Bongoyo msasani ,unapandia slip wayBongoyo ipo wapi? Sipajui huwa napasikia tu.
Mwezi wa 8 tulimzika mkaka anaitwa Dixon na alikua mwalimu wa kuogelea.
Alienda kumuokoa demu wake akiwa anazama matokeo yake wakafa wote, niliiogopa Mbudya.
Ohooo natumai huko hakuna matukio kama ya Mbudya?Bongoyo msasani ,unapandia slip way