Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

HAkuna Mamlaka kushinda ya MUNGU, Mathabahu ziheshimiwe
Nashangaa KKKT wangu wamekaa kimya
 
Kwani hapa tupo Vatican hata Mkisususa sisi October tuta tiki tu!
Mnafanya ***** ***** kwa vile mnajua Rais ni Muislamu Bure kabisa nyie
 
Hawa TEC wamekuwa Political activist,
Huyu kitima atakuwa yupo kwenye payroll za NGO za nje ili kufanya chochezi za Kuchafua nchi
 
Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...

Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Ndio imeshasemwa na itakuwa hivyo, hii ni Roma locuta causa finita.
Hutaki andamana
 
Ndio maana mkaenda kumpiga na Chupa ya Bia kichwani au sio?
Apigwe na nani? Yani mtu ashambuliwe ndani ya Compound yao? Hamna camera wala walinzi? Uhuni tu kutaka Tension

Majimbo yapo kama anataka Sympathy ya Jamii aje agombee Nafasi za Kisiasa ikiwa amechoka Kuchunga kondoo
 
Apigwe na nani? Yani mtu ashambuliwe ndani ya Compound yao? Hamna camera wala walinzi? Uhuni tu kutaka Tension

Majimbo yapo kama anataka Sympathy ya Jamii aje agombee Nafasi za Kisiasa ikiwa amechoka Kuchunga kondoo
Akili zao ni za hovyo sana...

Wanashindwa kutambua kuwa nchi hii haina dini so serikali haiwezi kupangiwa na hao wana harakati wa kidini.
 

THE BIG SHOW UNAWAONEA MAASKOFU KATOLIKI

Katiba ya nchi inao ukuta ambao ni kama semi-permanent membrane.

Ukuta huu unaizuia serikali lutengeneza na kutumia jukwaa la dini rasmi na kulitumia kufanya siasa.

Lakini ukuta huu unawaruhusu makuhani kutumia majukwaa ya dini kufanya siasa ya kukuza na kuhami tunu za kitaifa.

Kwa muda mrefu maaskofu wamevumilia makosa ya wanasiasa lakini wanasiasa hawa wakavuka mipaka katika siku za karibuni.

Mfano mzuri ni kitendo cha Rais Samia kumzuia Gwajima Pale Ubungo kutumia jukwaa la kidini kufanya siasa ya kueneza tunu za Taifa lakini baadaye Samia huyo huyo akatumia jukwaa la kidini katika Kanisa la Malasusa kule Bagamoyo kufanya siasa za chuki.

Kuna double standard ya wazi hapa inayoleta ukakasi. Picha inayokuja ni lwamba sasa kuna Kanisa moja limepewa hadhi ya kuitwa KANISA RASMI mbele ya macho ya serikali.

Lakini, lazima Katiba ya nchi iheshimiwe na kila mtu, kila mahali na kila wakati.

Hivyo Maaskofu Katoliki wako sahihi. Wakamatie hapo hapo bila kuyumba.

Kwa nini mwanasiasa afunge baadhi ya makanisa halafu atumie makanisa mengine kujitanua kisiasa na kijamii?

Hii double standard hapana. Ukimkataa kuku usile mayai yake.

They have a sphere of sovereignty which is beyond reach by the state. Tulieni sindano iwaingie hadi kwenye mfupa.
 
Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...

Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Kwa maelezo yako jhhasa hapo unnnaposema wao ndio wanufaika unataka kusemaje yaani lile deni la Taifa hawa ndio wana mgao zaidi kuliko serikali?
 
Ina maana TEC wamepiga za kichwa tupu au mana nasikia woooo woooo woooo zimekua nyingi sana wazee wa ubwabwa na kobazi wakishambulia kutokea pembeni, TEC ongezeni pigo moja la mbavu changa mtu aheme na macho
 
Hakuna mamlaka yenye guvu kuliko wananchi wake. Matahila wamelewa madaraka wanafikili nchi ni mali yao. Madaraka yote yanatoka kwa wananchi . Nyinyi vibaka wa ccm madaraka mmepewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…