Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Nisaidieni utaratibu ukoje hadi nitinge nayo dar,maana nipo ugaibuni na nahitaji ninunue moja.maana hizo za Tanganyika arms mh!sio zenyewe wakuu.na pia ipi ni nzuri kwa self defence(kufukuzia vibaka/majambaza) maana malima kanitisha,kama ndo mambo yenyewe hayo huko bongo,heri nije na kimguu changu cha kuku

Mkuu si unasema wewe ni mjeshi?,kwanini usimwombe Mwamunyange kibali cha kukaa na kifaru nyumbani kama lengo ni kuwatishia tu vibaka?
 
revolver-gun_4241.jpg

Green gas TSD 131 Revolver
 
Glock ni pistol nzuri sana kwanza ni powerful na inahimili hali ya hewa ya aina yeyote mfano kwenye joto kali au baridi kali kupita kiasi Glock haiathiliwi na hali ya hewa.
Tatizo kubwa la glock ni kuwa ni lazma isafishwe mara kwa mara(usipite muda mrefu bila kusafishwa) kwani ugonjwa wake mkubwa ni misfire ambayo kwa kiasi kikubwa sana husababishwa na vumbi na dusts nyingine.
Just imagine umevamiwa, kwa kujiamini unatoa pistol yako na unapovuta trigger risasi inakataa kutoka!

Chaguo langu ni Glock17. size na uzito wake ni wa wastani hivyo ubebaji wake ni comfortable sana.
glock17.jpg
 
Ukumbuke kwamba unanunua bastola ili uweze kulinda maisha na mali yako. Bastola ndogo (na yenye calibre ndogo) ina uwezo mdogo in terms of range na stoping power (yani uwezo wa kumzuiwa adui wako asiendele na nia yake mbaya). Anything less than 9 mm luger, effectiveness yake ni limited. Mimi ninge penda ku suggest CZ 75B (ambayo inapatikana Mzinga Corporation) ni kubwa kuliko glock, lakini unaweza uka conceal (ni kujizoweza kutembea nayo tuu). Lakini baada ya kupata ruhusa ya kumiliki hiyo silaha, inabidi uwe na nidhamu ya hali ya juu, yani usiwe mgonvi na usipende ku showoff silaha yako. Kwani hutaweza kumwelewa mbaya wako, vile vile hawo ambao utawaonyesha wanaweza kwenda kuwaeleza wengine ambao hawana nia mzuri.

Baada ya kumiliki kisheria hiyo silaha, ningekushauri uwende ukapate mafunzo (kama hujawahi kupata mafunzo ya bastola) polisi - FFU Ukonga.

Check out the following link: The Best Nines - Best 9mm Pistol Site handgun review test gun dealer auction
 
Nisaidieni utaratibu ukoje hadi nitinge nayo dar,maana nipo ugaibuni na nahitaji ninunue moja.maana hizo za Tanganyika arms mh!sio zenyewe wakuu.na pia ipi ni nzuri kwa self defence(kufukuzia vibaka/majambaza) maana malima kanitisha,kama ndo mambo yenyewe hayo huko bongo,heri nije na kimguu changu cha kuku

Kama unataka kumiliki silaha sisi tukusaidie je?
 
Glock ni pistol nzuri sana kwanza ni powerful na inahimili hali ya hewa ya aina yeyote mfano kwenye joto kali au baridi kali kupita kiasi Glock haiathiliwi na hali ya hewa.
Tatizo kubwa la glock ni kuwa ni lazma isafishwe mara kwa mara(usipite muda mrefu bila kusafishwa) kwani ugonjwa wake mkubwa ni misfire ambayo kwa kiasi kikubwa sana husababishwa na vumbi na dusts nyingine.
Just imagine umevamiwa, kwa kujiamini unatoa pistol yako na unapovuta trigger risasi inakataa kutoka!

Chaguo langu ni Glock17. size na uzito wake ni wa wastani hivyo ubebaji wake ni comfortable sana.
glock17.jpg
Mkuu sasa mbona kuna imani kuwa Glock.dustproof
 
Hiyo ni iimani tu kama ulivyoiita au pengine ni lugha ya kibiashara tu.
Lakini mbali na advantages nyingi za glock, inapoteza points inapopata dusts tu.
 
Glock ni pistol nzuri sana kwanza ni powerful na inahimili hali ya hewa ya aina yeyote mfano kwenye joto kali au baridi kali kupita kiasi Glock haiathiliwi na hali ya hewa.
Tatizo kubwa la glock ni kuwa ni lazma isafishwe mara kwa mara(usipite muda mrefu bila kusafishwa) kwani ugonjwa wake mkubwa ni misfire ambayo kwa kiasi kikubwa sana husababishwa na vumbi na dusts nyingine.
Just imagine umevamiwa, kwa kujiamini unatoa pistol yako na unapovuta trigger risasi inakataa kutoka!

glock17.jpg
Samahani mkuu, siyo kweli kuwa Glock inahitaji usafi wa mara kwa mara. Katika bastola ambazo hazihitaji uibembeleze ni Glock, ndiyo maana Glock ikafananishwa na AK 47 kasoro yenyewe ni semi-automatic hasa hizi za kiraia.

Kwa taratibu za matunzo ya silaha ni kuwa silaha unapoitumia ni bora ukaifanyia usafi baadaye, ni sawa na mtu ukimaliza kula ugali kwa kutumia mikono ukanawa baada ya kula vinginevyo mikono yako utaisikia imegagamara sana usiponawa.

Fanyia matunzo silaha ye yote ile ili na yenyewe ikutumikie vizuri na kwa muda mrefu.

Sababu kubwa ya kupendelea Glock ni kwa sababu ni silaha yenye uvumilivu wa hali ya juu sana ukilinganisha na bastola zingine. Mkuu naongelea uzoefu wa kitafiti wa kidunia wa muda mrefu.

Narudia tena mkuu size ya Glock19 is the best kuliko Glock 17 as a concealed daily carry weapon.
 
Nashukuru mkuu kwa maana nilianza kupata wasiwasi na G19 yangu
 
Hiyo ni iimani tu kama ulivyoiita au pengine ni lugha ya kibiashara tu.
Lakini mbali na advantages nyingi za glock, inapoteza points inapopata dusts tu.

Nafikiri wewe haumiliki Glock ndiyo maana unasema hivyo. Glock ni kimbilio la watu wanaojua bastola yenye ubora duniani.
 
I accepted the comment na kusema bull kwa maana umelenga kwenye nucleus of target and then I did salute

Nakushukru sana mkuu, ni katika kukumbushiana na kuelimishana tu mkuu maana hivi vitu tunatakiwa tuvijue kwa undani.
Ni vitu vinavyoweza kuwa na faida sana na vilevile vikawa na madhara makubwa sana.
 
Back
Top Bottom