Napenda tu kuongezea kuwa risasi inayoleta ajali mara kwa mara ni ile ambayo inakaa kwenye chamber (risasi hii ni hatari sana inaweza kukukata mguu, mkono, kukuua kabisa au ukaua mtu mwingine bila kutarajia/kupenda. Kuna jamaa mmoja alikuwa ameiweka kiunoni bahati mbaya wakati anaichomoa kumbe ameshika kwenye trigger, **** lote na paja la kulia viriharika vibaya sana, bahati nzuri hakufa.
Risasi inaweza kwenda kwenye chamber wakati una koki na ukija kusahau kuitoa ndo utajuta. Risasi hiyo vilevile inaitwa accidental killer/damager. Unaweza ukaota umevamiwa na kuchukua silaha yako bila kujijua na kuvuta trigger, hapo utaua mkewe au wewe mwenyewe maana uko ndotoni.
USHAURI: Silaha ya aina yo yote iwe gobore, riffle, shortgun, pistol au revolver never ever ever ever ukaacha risasi kwenye chamber. Isipokuwa labda kwa wanajeshi wanapokuwa kwenye uwanja wa vita, ingawa na wao accident ya risasi kutoka kwa bahati mbaya inatokea sana tu.
Always acha risasi kwenye magazine, ukiamua kupiga risasi then koki silaha yako lenga vuta trigger paaaaaaaa.
Ukigairi kupiga itoe hiyo risasi iliyopo kwenye chamber na irudishe kwenye magazini.
"Always assume the firearm is loaded", maana ya loaded ni kuwa risasi iko kwenye chamber!!!!!!!!!!!.
Remember the FOUR basic rules of firearm safety: "Lo-Mu-Tri-Ta"
Lo = Loaded. (Always assume the firearm is loaded)
Mu = Muzzle. Point the Muzzle in a direction you don't intend to destroy.
Tri = Trigger. Keep you finger away from the Trigger, only when you are ready to shoot.
Ta = Target. Know the target that you want to destroy, what is behind it, to its left , to its right and so on.