nyamchele
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 1,325
- 1,034
Kuna jambo nimefanyiwa limeniuma sana.nijuzeni bei ya bastola,iwe mpya au used.MUHIMU SANA HII
Pole Sana, nakushauri pata mafunzo kwanza ya mambo yanayokupasa kuzingatia kabla ya kumiliki silaha yoyote na upate mafunzo yanayostahili kwani nilivyokusoma ukipewa huyo bastola sasa utatoa roho ya mtu hata na ya kwako pia...haifai mkuu kwani tukienda kwa mtindo huo atapona mtu.....Nakuombea Sana Mungu akusaidie ili ufanye maamuzi mazuri...