Kuna jambo nimefanyiwa limeniuma sana.nijuzeni bei ya bastola,iwe mpya au used.MUHIMU SANA HII
Kila la heri katika jitihada zako za kulijinda wewe na familia yako pia na mali zako. Ombi moja tu ukiipata basi uwe makini sana mahali unapoiweka ili isije ikasababisha madhara makubwa ndani ya familia yako.
Bisi bisi
Viwembe
Kisu
Panga
Jambia
Mshale na upinde, tena wenye sumu
Mkuki
Manati
Kombeo
Mtarimbo
Nondo
Tindikali(mmh, labda dil Haidrokloc acid, conc hairuhusiwi, wala Sulphuric acis hairuhusiwi)
Rungu
Bunduki sasa, tunaruhuriwa gobole, na yale ya polisi, AK47 no
Bastola iwe bomba moja, bomba mbili hapana.
Mie namiliki zote hizo, isipokuwa mabunduki na bastola.
Ahsante mkuu Kongosho ingawa ningependa kufahamu vizuri hii bastola ya bomba 2Bastola iwe bomba moja, bomba mbili hapana.
Mie namiliki zote hizo, isipokuwa mabunduki na bastola.
mawe tu..
Mkuu kama huna hela uko salama zaidi kuliko ukiwa nazo.Kwanini usumbuane na mtu, usumbuke kubeba uzito mwingine.
Tafuta hela.
HELA NDIO SILAHA TOSHA
Mkuu wengine hatuzifahamu hizo alizokuwa anamiliki ADAM MALIMA, tufahamishe.Alizokua anamiliki, Adam Malima nawe pia unaruhusiwa kuzimiliki.
Mkuu wengine hatuzifahamu hizo alizokuwa anamiliki ADAM MALIMA, tufahamishe.
Ucha.wi Unaruhusiwa hata Mkulu wetu alikuwa na Silaha yake ya Kich.wi from Shehe Yahya ila ndio hivyo alindei kwasasa sijui anatumia silaha from wapi...Wanajamvi hususani wenye ufahamu wa mambo ya silaha, ningependa kujua ni aina
gani ya silaha ambazo tunaruhusiwa kumiliki kihalali sisi Watanzania?
Napenda sana ile silaha ambayo unaweza kumlenga mtu aliye mbali SNIPER RIFLE sina uhakika
kama ndivyo inavyoitwa lakini naiona ni mzuri sana kwa ulinzi,
Mwisho naomba kujua bei za hizo silaha na gharama zake katika usajili.
Angalizo: SNIPER sio silaha ni mtu mwenye shabaha hata akiwa umbali mkubwa, kimsingi swali lako nadhani lime-base kwenye silaha za moto sio baridi kama viwembe na baadhi ya alizotaja mchangiaji wa kwanza,
mi nakushauri nenda maduka ya silaha kama Tanganyika arms, silaha zote za moto utazozukuta pale maana yake raia anaruhusiwa kumiliki!!
Na utaziona bei zake!!
Pia wanaweza kukupa utaratibu wa kufuata ili uweze kumiliki silha ambapo lazima upitie ngazi mbalimbali za uongozi wakuudhinishe