Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Hivi yule dada wa arusha aliyewazengua watu kwa cha moto ilikuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Kiudhati haswa hawa binadamu hawakustahili !
Piga picha mkeo anamiliki cha-moto then una mpango wa kuoa mke wa pili , siku chache kabla hujaoa unaona mara kaitoa anaifanyia usafi ! Utaoa ?

Kabla ya kumpa taarifa za wewe kutaka kuoa inabidi uende kwanza kunakohucka ukatoe taarifa hata za uongo ili anyang'anywe kwanza
 
sheria yoyote ambayo inabagua jinsia inapingana na katiba ambayo imeprovide for equality kwa wote,kama mwanamke anavigezo vya kumiliki silaha anayohaki ya kumiliki kama mwanaume.
 
Kiudhati haswa hawa binadamu hawakustahili !
Piga picha mkeo anamiliki cha-moto then una mpango wa kuoa mke wa pili , siku chache kabla hujaoa unaona mara kaitoa anaifanyia usafi ! Utaoa ?

Na wakati anaifanyia usafi anaimba wimbo wa Dr Remmy(RIP),'Kifooo kifoo kifo hakina uruma'.
 
Kiudhati haswa hawa binadamu hawakustahili !
Piga picha mkeo anamiliki cha-moto then una mpango wa kuoa mke wa pili , siku chache kabla hujaoa unaona mara kaitoa anaifanyia usafi ! Utaoa ?

Shem nimecheka kweli kwa sauti... Afu hii nilikuwa siifahamu aisee, nitaitafuta manake kuna watu wababore kweli, ukiwa nayo afu siku moja ukawaonesha lazima heshima iwepo aisee....
 
Baba upo Zanzibar nini? ...maaana huko Silaha ndio haziruhusiwi
 
Katiba mpya ni 50/50 wataruhusiwa kama wewe mwanamme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…