Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Habari,Wakuu habari,
Hili swali lina ni tatiza kidogo, nimejaribu kuperuzi peruzi lakini nimeishia kufahamu vigezo vya na hatua za kumiliki silaha lakini hakuna mahali nilipoona ni aina gani ya silaha unaruhusiwa kumiliki.
Mwenye kujua tafadhali..
Ni shotgun mkuu. Siyo short gun, shortgun au shot gun. Na hiyo ni kwa ajili ya uwindaji wa wanyama au ndege. Kwa ajili ya self defence ni bastola.Kwa nchi yetu ya Tz siraha ambayo unaruhisiwa kuwa nayo kwa self defence ni Short gun. Hakuna zaidi ya hiyo kwa level ya ulinzi binafsi au wa makampuni ya ulinzi. Iko hivyo sheria ya nchi haijaruhusu bado RAIA yeyote kumiliki siraha kubwa zaidi ya shortgun. SMG na kuendelea wameruhusiwa polisi na majeshi.
Pesa zako ndyo zitakazo amua mwanangu...ondoa shaka tafuta salio nenda sehemu husika utauziwa tu na achana na kupasua kichwa na mambo yasiyo na msingi weka nguvu kubwa na akili nyingi penye TIJA.Wakuu habari,