Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Wakuu habari,

Hili swali lina ni tatiza kidogo, nimejaribu kuperuzi peruzi lakini nimeishia kufahamu vigezo vya na hatua za kumiliki silaha lakini hakuna mahali nilipoona ni aina gani ya silaha unaruhusiwa kumiliki.
Mwenye kujua tafadhali..
Habari,

Mimi.naomba unijuze hizo hatua tafadhari.

Ninahitaji kujua.
 
Mbali na silaha za jadi kama kombeo, panga, upinde n.k. silaha za moto ambazo unaweza kupata vibali vya kuzimiliki ni bastola moja na rifle au shotgun moja. Ila kwa uelewa wangu hauwezi kukubaliwa kumiliki zaidi ya bastola moja na pia zaidi ya rifle/ shotgun moja japo unaweza kumiliki vyote viwili kwa wakati mmoja.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na polisi kwa namba 0755 724 662 ukauliza maswali yako yote yanayohusiana na umiliki wa silaha. Hiyo namba ya simu ni kwa ajili ya general public kuuliza maswali yanayohusu silaha. Hivyo upige bila kuwa na hofu yoyote.
 
Kwa nchi yetu ya Tz siraha ambayo unaruhisiwa kuwa nayo kwa self defence ni Short gun. Hakuna zaidi ya hiyo kwa level ya ulinzi binafsi au wa makampuni ya ulinzi. Iko hivyo sheria ya nchi haijaruhusu bado RAIA yeyote kumiliki siraha kubwa zaidi ya shortgun. SMG na kuendelea wameruhusiwa polisi na majeshi.
 
Ni shotgun mkuu. Siyo short gun, shortgun au shot gun. Na hiyo ni kwa ajili ya uwindaji wa wanyama au ndege. Kwa ajili ya self defence ni bastola.
 
Wakuu habari,

Hili swali lina ni tatiza kidogo, nimejaribu kuperuzi peruzi lakini nimeishia kufahamu vigezo vya na hatua za kumiliki silaha lakini hakuna mahali nilipoona ni aina gani ya silaha unaruhusiwa kumiliki.
Mwenye kujua tafadhali..
Pesa zako ndyo zitakazo amua mwanangu...ondoa shaka tafuta salio nenda sehemu husika utauziwa tu na achana na kupasua kichwa na mambo yasiyo na msingi weka nguvu kubwa na akili nyingi penye TIJA.
 
Mi nikiwa na ile manati yangu ya kizungu halafu magazine iko full loaded huwa natembea kwa mapana na kujiamini sana utafikiri namiliki kifaru cha kivita eti
 
Tanzania hakuna lisilowezekana hata ukitaka kumiliki kifaru cha kivita ruksa
 
Kifaru usithubutu, ishia hapa
 
Attachments

  • honets.jpg
    honets.jpg
    23.8 KB · Views: 59
Going armed in public is a criminal case,then ask yourself where will you use your weapon?
 
Back
Top Bottom