Kwanza ukapimwe akili muhimbili, record ya uwendawazimu na uthibitisho kuwa huna wagonvi usije ukaenda kulipiza kisasi.
Sasa wewe ndugu, kuingia na silaha nchini sio shida, utatokaje nayo huko uliko? Ukiweza kutoka nayo tu, kuingia itawezekana.
Kama upo DRC au Burundi si unakatiza tu kwa mguubunaingia nayo halafu jamaa wakikukamata jina lako linabadilika kuwa jambazi.
Mjomba umeandika hii thread yako kwa upole lakini kwa undani I can tell kuwa una hasira kali sana moyoni, vipi kuna aliye kuudhi? Waweza kumiliki ila nenda kituo cha polisi utapewa utaratibu kamili kumbuka ni kwa ajili ya kujilinda and if you use it offensively itakula kwako na kama una visa na mtu bora hata usiinunue.
ukijua hizo taratibu kabla ya kwenda kusajiliwa hiyo silaha mimi nipo huku ng'ambo nakuhakikishia
nikija huko ntakuletea.
ukijua hizo taratibu kabla ya kwenda kusajiliwa hiyo silaha mimi nipo huku ng'ambo nakuhakikishia
nikija huko ntakuletea. Nikiwa hapo airport ntaikabidhi kwa wana usalama. Utaenda waonesha hizo documents zako na watakukabidhi. Kabla ya yote unaenda kwa watendaji wako wa karibu i think ni mtaani kwako. Watakupa barua ili uende mbele zaidi ukiwa na hiyo barua yako. Ila ujitayarishe kuulizwa maswali kama haya:
-kwanini unahitaji silaha?
-aina ya salaha na kwa shughuli gani?
-upeo wa akili yako isije ukawa umechanganyiiwa au una tataizo la akili.
-silaha ndogo ina long process kuliko kubwa.
-silaha inayopiga kwa mkupua risasi nyingi huruhusiwi raia(rapid).
-...........
Watakusaidia wajuzi wengine nimekupe kumbu kumbu zangu nlipokua huko Bongo.
taratibu si ngumu ukizingatia anaehitaji atafuata taratibu. Tutailipia ushuru.
ukijua hizo taratibu kabla ya kwenda kusajiliwa hiyo silaha mimi nipo huku ng'ambo nakuhakikishia
nikija huko ntakuletea. Nikiwa hapo airport ntaikabidhi kwa wana usalama. Utaenda waonesha hizo documents zako na watakukabidhi. Kabla ya yote unaenda kwa watendaji wako wa karibu i think ni mtaani kwako. Watakupa barua ili uende mbele zaidi ukiwa na hiyo barua yako. Ila ujitayarishe kuulizwa maswali kama haya:
-kwanini unahitaji silaha?
-aina ya salaha na kwa shughuli gani?
-upeo wa akili yako isije ukawa umechanganyiiwa au una tataizo la akili.
-silaha ndogo ina long process kuliko kubwa.
-silaha inayopiga kwa mkupua risasi nyingi huruhusiwi raia(rapid).
-...........
Watakusaidia wajuzi wengine nimekupe kumbu kumbu zangu nlipokua huko Bongo.
labda kama unazitafuta kwa mateja projects, handgun USA magumashi, za wapi zitakuwa za ukweli, Uchina? Sema huna kitu.kununua Pistol(especially Glock) ... Hapa USA nimejaribu ili ninunue lakini naona magumashi tuu.
Kwanza kabisa usiwe na mawazo ya kumdhuru mtu. Taratibu za kufuata kwanza kabisa unatakiwa ununue hiyo silaha unayohitaji baada ya hapo utakwenda kituo cha Polisi cha wilaya unayo ishi utapewa form maalumu ambazo utajaza baada ya kukamilisha form zako utazipeleka ofisi ya serikali ya mtaa ukitoka hapo utakwenda ofisi ya mtendaji kata baada ya hapo form itapelekwa katika kikao cha usalama na maadili wilaya,mkoa ikiwa bunduki kubwa itaishia mkoani lakini bunduki itaishia kwa afisa upelelezi makao makuu [dci] baada ya hapo unakabidhiwa silaha yakoHabari wana JF..
Mi ni mzalendo wa Tanzania.. Ni taratibu gani natakiwa nifuate ili niweze kumiliki bastola?? Ni kwa self-defence.. Hasa ktk shughuli ninayotaka kuanza ya kupeleleza habari za huyu fisadi kaburu, nihakikishe mwaka 2015 harud mjengon, na nch ye2 anaikimbia..