Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 41
Unahitaji aina gani?Ndevu mbili bila shaka ulisema uko Canada. Vipi ni rahisi kununua Pistol(especially Glock) na kusafiri nayo kwenda bongo? Hapa USA nimejaribu ili ninunue lakini naona magumashi tuu. Kama ni rahisi basi ni PM ili tuwasiliane maana na mm nahitaji hiyo kitu.
Uipeleke wapi?
Vibali halali unavyo?
Uitumie kwa shughuli gani?
Wajishughulisha na nini?