mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kwa point hio basi watu wasiwe wanaweka mageti/kujenga ukuta kwny nyumba zao maana wahalifu wakiamua wanaingia fasta tu.Dunia hii ya sasa kutaka kumiliki bunduki kwa kigezo cha kujilinda dhidi ya wezi na wanyang'anyi ni udhaifu tu,
labda kama ni kwa sababu zingine za show off na kutisha raia mtaani.
Waharifu wakiamua kufanya yao wanafanya tu hata kama unamiliki mitungi ya nyuklia au makombora ya masafa marefu.
.
.
Hizo pesa na nguvu inayotumika kufuatilia umiliki ni vema zitumike kujiongezea kipato zaidi.
We ongeza hicho kipato zaidi na wenzako watafute silaha za kujilinda wao,mali na familia zao.