Kwa point hio basi watu wasiwe wanaweka mageti/kujenga ukuta kwny nyumba zao maana wahalifu wakiamua wanaingia fasta tu.Dunia hii ya sasa kutaka kumiliki bunduki kwa kigezo cha kujilinda dhidi ya wezi na wanyang'anyi ni udhaifu tu,
labda kama ni kwa sababu zingine za show off na kutisha raia mtaani.
Waharifu wakiamua kufanya yao wanafanya tu hata kama unamiliki mitungi ya nyuklia au makombora ya masafa marefu.
.
.
Hizo pesa na nguvu inayotumika kufuatilia umiliki ni vema zitumike kujiongezea kipato zaidi.
Duuu kumbe hivi vidude vina gharama hivi? Kuna jamaa alinambia pistol ni kuanzia laki 5 hadi nane inapatikana kumbe haikuwa sahihi?
Huo ndo utaratibu lakini ukiufuata utasubiri sana. Kuna watu nawafahamu wamepata silaha hata miezi 2 haifiki. Weka pesa mezani kila kitu kinapelekwa fasta na utaratibu hauvunjwi.
Mzunguko mkubwa sana! Kurudishiwa pesa, makato mengi.Kuinunua ndugu yangu ni kama vile kununua suruali dukani ila kuichukua ni nafuu kupata visa ya USA kuliko kupata kibali cha kuimiliki, cyo kwa zama hizi kama haukupata silaha kwenye utawala wa jk basi sahau kimiliki iyo kitu, kuna jamaa zangu wana kwenda mwaka wa3 hkna cha kibali wala nini, wamebakiza kuzitembelea silaha zao pale Tanganyika Arms na kuonyeshana2 kama watoto wadogo yangu hii!
Maswali yako magumu aiseeJe, ukimiliki silaha unaruhusiwa kusafiri nayo nje ya mkoa???
Je, mmiliki akihama atapaswa kuwajulisha kule alikohamia kwamba anamiliki silaha????
Naomba kujua masharti baada ya kupewa kibali cha kumiliki silaha.
Ahsanteni wadau
ha ha ha ha ha ha ha ha haMpk hapo hau qualify kupata mkuu,maana kama uvumilivu wa hizo process umekushinda hata Judgement yako kwenye matumizi ya silaha yatakua na mashaka.
hahahahahaaaa... Ndiyo maana ukajiita 'Mbu'...Risasi inapofyatuliwa kuna mawili, moja ukiusikia mlio wa bastola/bunduki jua imemkukosa hiyo! PILI kwa mlio huo huo, utalala chini mwenyewe bila kuambiwa, nilikuwa mahala zikafyatuliwa toka kwenye AK-47, ...palifuatia ukimya kuanzia Binadamu, mbwa mpaka Mbu...!
Licence ya silaha yatolewa kwa muhusika tu, hivyo basi silaha husika itatakiwa kurudishwa kituo cha karibu cha polisi iwapo muhusika ameezeeka, akili zake sio timamu au hayupo tena duniani.Inakuwaje pale mmiliki halali wa bastola anapofariki sheria inasemaje kuhusu hili???Na je kwa mfano una documents zote halali za umiliki wa silaha ya marehemu je unaweza kuiuza na kuna taratibu zipi za kufuatwa........
Msaaaada Jamaaaniiiiii
Nashukuru Sana Mkuu Kwa Ufafanuzi Huu, Je Hairuhusiwi Kuiuza Kwa Mtu Binafsi Kwa Kufuata Taratibu Za Kisheria Au Kama Ndio Ameshafariki Na Uhalali Wa Umiliki Wake Nao Unaishia Hapo Mkuu???Licence ya silaha yatolewa kwa muhusika tu, hivyo basi silaha husika itatakiwa kurudishwa kituo cha karibu cha polisi iwapo muhusika ameezeeka, akili zake sio timamu au hayupo tena duniani.
Inaruhusiwa kuiuza lakini Mauzo yatafanyika kituo cha police na silaha itaacha kituoni/office ya msajili mpaka pale mmiliki mpya atakapopewa licence yake ya kumiliki silaha tajwa.Nashukuru Sana Mkuu Kwa Ufafanuzi Huu, Je Hairuhusiwi Kuiuza Kwa Mtu Binafsi Kwa Kufuata Taratibu Za Kisheria Au Kama Ndio Ameshafariki Na Uhalali Wa Umiliki Wake Nao Unaishia Hapo Mkuu???