Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 41
Unahitaji aina gani?Ndevu mbili bila shaka ulisema uko Canada. Vipi ni rahisi kununua Pistol(especially Glock) na kusafiri nayo kwenda bongo? Hapa USA nimejaribu ili ninunue lakini naona magumashi tuu. Kama ni rahisi basi ni PM ili tuwasiliane maana na mm nahitaji hiyo kitu.
Bila vibali kwenye ndege ntasemaji scanning ikionekana?Ndevu mbili, huwezi kupata vibali vya kumiliki silaha bila kuwa na silaha yenyewe. Nilidhani unaweza nunua ukaifikisha Dar alafu nikatafuta vibali ikiwa imehifadhiwa polisi. Mimi kama nilivyosema niko USA na hiyo silaha ni self defence si unajua bongo tena. Mimi kupata vibali siyo issue, kinachonisumbua ni ununuaji wa hiyo silaha nikiwa huku Marekani. Mimi napendela sana Glock 19 kama nitapata hiyo nitafurahi sana. Bongo niliwahi kuiona Glock 17 lakini wakawa wanauza triple price wakati huku ni dola 350+ kwa used.
Ndevu mbili, huwezi kupata vibali vya kumiliki silaha bila kuwa na silaha yenyewe. Nilidhani unaweza nunua ukaifikisha Dar alafu nikatafuta vibali ikiwa imehifadhiwa polisi. Mimi kama nilivyosema niko USA na hiyo silaha ni self defence si unajua bongo tena. Mimi kupata vibali siyo issue, kinachonisumbua ni ununuaji wa hiyo silaha nikiwa huku Marekani. Mimi napendela sana Glock 19 kama nitapata hiyo nitafurahi sana. Bongo niliwahi kuiona Glock 17 lakini wakawa wanauza triple price wakati huku ni dola 350+ kwa used.
Bila vibali kwenye ndege ntasemaji scanning ikionekana?
Nikipewa vbali naweza luileta tz ntaikabidhi. Ila kabla ya vibali n
Amuagizia detail ya hiyo silaha yake. Halafu mwenye hii thread hajaweka wazi aina gani ya silaha na kwa mahitaji gani?
Kuna limit kwa raia aina ya silaha kuwanazo.
Tanganyika arms wanauza Glocks za aina mbalimbali e.g Glock 17, Glock 19 na kadhalika.
Hawa jamaa kuna wakati wanakuwa nazo, ni kuwaulizia kama wanazo kwenye stock.
Tatizo ni bei iko juu, kuna jamaa namfahamu alinunua July 2010 kwa 1,700,000/= TZS kwa Glock 19 (Brand New).
Uzuri wa kununua bongo ni kuwa inarahisisha ununuaji wa silaha kuliko mizengwe iliyopo ukitaka kununua nje ya bongo pamoja na kwamba utaipata kwa bei ya chini.
Kumbuka kuwa unapofanya maombi ya kumiliki silaha unatakiwa uwe umeshainunua kwanza, ili unapojaza form za maombi uweze kujaza jina la silaha, model yake, namba zake na kadhalika.
Ukiwa na mkono mrefu maombi ya kumiliki yanaweza kukuchukua wiki 4 tu ukakabidhiwa. Kwa wale wenye mikono mifupi itakuchukua chini kabisa miezi 6 !!!!. Akili kwako mkuu.
Hapo red, ni ufisadi aka rushwa?
Nashukuru kwa kutuhabarisha hilo member na members.Ukinunua silaha nje ya Bongo hautaruhusiwa wewe kuambatana nayo kwenye ndege ikiwa kwenye e.g briefcase yako, hiyo ni kamwe maana unaweza kuwageuzia kibao na hiyo silaha yako.
Dukani ulipoinunulia wao ndo wataisafirisha kwenda bongo au wewe mwenyewe itabidi uisafirishe kama mzigo pekee kwenye ndege na itabidi ulipe gharama za usafiri. Bongo itafikia mikononi mwa polisi mpaka utakapo kamilisha maombi ya kuimiliki.
Ununuaji wa silaha nje ya bongo unaweza ukawa ni mugumu sana inategemeana na nchi na nchi. Nchi zingine watakuambia nunua hiyo silaha kupitia kwa maajenti wa silaha wa bongo. Hapo ndo ajenti kama Tanganyika arms anaposaidia especially kama unataka kununua Glock. Mzinga hawana Glocks.
Usisahau mkuu responsibility ya kumiliki silaha is a very serious issue kupita hata uwajibikaji wa kuangalia familia yako. Nafikiri unanipata.
Vinginevyo inaweza kukupeleka jela kiurahisi sana.
Hilo nalo litakua ni tatizo kupewa hati za kumiliki hiyo silaha. Kama umeajiria na chombo husika basi hilo litakua ni jukumu lao kuhakikisha unapewa hiyo silaha.Habari wana JF..
Mi ni mzalendo wa Tanzania.. Ni taratibu gani natakiwa nifuate ili niweze kumiliki bastola?? Ni kwa self-defence.. Hasa ktk shughuli ninayotaka kuanza ya kupeleleza habari za huyu fisadi kaburu, nihakikishe mwaka 2015 harud mjengon, na nch ye2 anaikimbia..
Habari wana JF..
Mi ni mzalendo wa Tanzania.. Ni taratibu gani natakiwa nifuate ili niweze kumiliki bastola?? Ni kwa self-defence.. Hasa ktk shughuli ninayotaka kuanza ya kupeleleza habari za huyu fisadi kaburu, nihakikishe mwaka 2015 harud mjengon, na nch ye2 anaikimbia..
Nashukuru kwa kutuhabarisha hilo member na members.
Hebu angalieni humu: Discount Hunting Supplies, Shooting Supplies, Ammunition - Able Ammo
Nakushauri umwone mwenyekiti ambaye atakuandikia barua ya utambulisho wa ukazi wako kwa Mtendaji wa Kata ambaye ataitisha kikao cha kamati ya ulinzi na usalama kukujadili (utahitajika kuwepo) kuhusu mwenendo wako dhidi ya jamii inayokuzunguka iwapo wataridhia utaandikiwa barua kwenda kwa OCD ambaye atawasilisha ajenda hiyo kwenye kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya wilya (chini ya DC) na kupewa kibali iwapo umekubaliwa.
Nenda ofisini ya mkuu wa polisi wilaya utapewa form ujaze,,na pia utapaswa kujadiliwa na vikao vya ulinzi na usalama kuanzia kata hadi mkoa. silaha bei ni pesa yako tu.