miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Ofoo Saroo...... :wacko:
Ha ha usikariri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofoo Saroo...... :wacko:
Ha ha usikariri mkuu
Nilitaka nilete mahari sasa nimepata kigeugeu....duh
Lete tu ila ukinizengua nakutengua hata jiwe silaha
tunaruhusiwa na mimi natafuta yangu soon
ukiitaka tu unishtue mae
Uko uzi humu juu ya hii kitu. Search utapata mengi sana maoni.
1. Bunduki ni hatati kuliko maelezo, jiandae kwa hilo kwanza kabla ya kuamua kuwa nayo!!
2. Hata kama una hela kama BoT sisitiza kufuata taratibu zote zilizowekwa juu ya mchakato la sivyo utajuta hata kuwa na hizo pesa!!!
Ukiamua kumiliki bunduki basi umeamua kuwa na mume
mwenza/mke wa pili hapo ndani!!!
Anakuja kubadili mfumo wako wa maisha!!!
Habari wadau ningependa kupata taarifa ya process zinazohitajika kununua bunduki (bastola) na pia kujua bei na sehemu zinapouzwa.Asante
why? Ni hatari mno?
Why lazima iwe ya halali?
Why ni mume mwenza?
utunzaji wake ni mgumu sana utatembea nae kama kiungo la sivyo wanaume watakunyang'anya
Habari wadau ningependa kupata taarifa ya process zinazohitajika kununua bunduki (bastola) na pia kujua bei na sehemu zinapouzwa.
Asante
mkuu kwani kwanini unaitaji bunduki