ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Ivi kweli mnahitaji izo binduki? Au ndo zile sifa tuu watu wajue una bastola basii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau naomba mwenye majibu ya hili swali anisaidie,maana binafsi naona hayo siju wapi pa kununua,kusajiri na mengine ni additional tu.swali la huyu mdau ndo swali hasa.msaada jamani.
Cc,mbangaizaji,kitia ,mbu , zanziba na wengine
ase wewe ni meku maana wote kutoka kaskazini wamenunua mnaajenda gani asee