Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Utainunua ila kibali hutapata hata kwa rushwa
Kwanini maana Mimi ni mfanyabiashara kwanini wasinipe ?
Kama ni kigezo Cha pesa Nina uhakika wa Kula na kufanya Mambo kadhaa kwa uchumi wa Taifa
 
Ili tu na ww upate coment tu humu hata hicho unachohitaji hufahamu kinavyoandikwa.
 
Naomba mwenye ufahamu vigezo jin
umiliki silaha maduka yanayouza Bei na Aina ya silaha nzuri Bastoral inayobebeka kirahisi na ya kisasa walau risasi 15
Silaha rahisi kupata ni short gun, nenda Mzinga Morogoro wanazo kibao, kupata kibali cha kumiliki Bastola utapata ilauwe mvumilivu labda utumie short cut
 
Kuna uzi upo humu unaonyesha process zote za kumiliki silaha.. Kama utafuata sheria kupata hiyo silaha mlolongo wake ni mrefu kiasi kwamba utaishia njiani na kula kona na kwenda kufanya mishe nyingine
Mwambie na kahela kake alicho dunduliza kununulia silaa atamwachia muuzaji.....
 
Kigezo sii hela ndugu
Waulize walionunua toka 2016 kama washaitwa
Kwanini maana Mimi ni mfanyabiashara kwanini wasinipe ?
Kama ni kigezo Cha pesa Nina uhakika wa Kula na kufanya Mambo kadhaa kwa uchumi wa Taifa
 
Mkuu hata kwa uandishi huu wa kiungwana huoni Mimi Nina akili timamu
Mkuu ni kweli kipengele kimoja wako ni utimamu wa akili na sababu ya msingi nyingne kwann unataka kumiliki mguu wa kuku
 
Mkuu ni kweli kipengele kimoja wako ni utimamu wa akili na sababu ya msingi nyingne kwann unataka kumiliki mguu wa kuku
Akili timamu ninazo, Mimi ni mfanyabiashara ninasafiri usiku kutoka na kwenda sehemu mbalimbali nahitaji kujilinda
 
Ili tu na ww upate coment tu humu hata hicho unachohitaji hufahamu kinavyoandikwa.
Kwani comments zimekua chakula au hela? Kama huna majibu ya hitaji lake piga kimya.... kuchambua spelling ni uboya sometimes
 
Akili timamu ninazo, Mimi ni mfanyabiashara ninasafiri usiku kutoka na kwenda sehemu mbalimbali nahitaji kujilinda
Kumiliki silaha kuna mlongo sana wa kupewa kibali ila kama upo teyar vumilia tu na kuwa na subira
 
Naomba mwenye ufahamu vigezo jin
umiliki silaha maduka yanayouza Bei na Aina ya silaha nzuri Bastoral inayobebeka kirahisi na ya kisasa walau risasi 15
Mods naomba heading isomeke Pistol sehem ya Bastolar iondolewe
 
Back
Top Bottom