Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Habari wana JF..

Mi ni mzalendo wa Tanzania.. Ni taratibu gani natakiwa nifuate ili niweze kumiliki bastola?? Ni kwa self-defence.. Hasa ktk shughuli ninayotaka kuanza ya kupeleleza habari za huyui fisadi kaburu, nihakikishe mwaka 2015 harud mjengon, na nch ye2 anaikimbia..
Kaburu gani unayemtafuta umuue? Im sorry muuaji!
 
Du..kaz kwelkwel mpk kupata iyo ki2
Mbumbumbu
Taratibu za kumiliki silaha ndogo ni ndefu ili kudhibiti ugawaji holela wa zana hiyo nyeti,japo mlolongo huo uantoa mianya mingi ya rushwa na kama ulivyojibiwa na wachangiaji wengine uamuzi ni wako wa njia ipi uifuate.
<ol class="decimal">kama unakusudia kumiliki chombo hicho ningekushauri uvisit maduka ya silaha kupata ushauri na uchaguzi sahihi.maduka yapo mawili tu moja la Mzinga coorperation likimilikiwa na JWTZ ambao wapo pale makao makuu ya jeshi upanga na head office yao ipo Kikosi cha mzinga Morogoro.Duka la pili ni kampuni binafsi ya Tanganyika Arms iliyopo jirani na Clock tower Dar na pia tawi mjini Moshi ukiridhika na unachohitaji utakilipia na kupewa risiti na application form ya kujaza.pia utatakiwa kununua SAFE ndogo ya kuhifadhi hiyo silaha
utawakilisha form yako kwa uongozi wa mtaa unaoishi na kujaza form nyingine ambayo itasailiwa wakati wa kikao cha kujadili ombi lako
ukikamilisha hatua hiyo maombi hupelekwa kwa oc-cid ambapo baada ya kuyapitia na nakala kupelekwa kwa afisa usalama wa wilaya ambako huchunguzwa records zako na hatimaye hujadiliwa katika kikao cha usalama cha wilaya na utahitajika kwa short oral interview
ukikamilisha hapo maombi yako yatapelekwa mkoani na kufanyiwa taratibu kama za wilayani na iwapo utafanikiwa yatapata baraka za RPC na kuwakilishwa makao makuu ya jeshi la polisi ofisi ya DCI
<font face="Century Gothic">DCI atapitia maombi na kama hana pingamizi ataidhinisha kibali na wewe kujulishwa(hatua hii ni kwa pistol pekee,Rifle na shotgun maombi yake huishia mkoani kwa RPC.na hii ni kutokana%2
 
wadau
Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya vigezo vinavyo tumika ili mtu wa kawaida aweze kumiliki silaha[bunduki] kwa raia wa Tanzania

Unaanza kutafuta bunduki yenyewe, unapewa invoice na kampuni inayokuuzia, unaomba kibali cha kununua hiyo bunduki polisi. Baada ya hapo, (kwa kufuata utaratibu halali wa kisheria ) polisi wataitisha mikutano ya kamati za ulinzi na usalama (kuanzia mtaa/kijiji/kata hadi wilaya) ili kujadili ombi lako na wajithibitishie kuwa una akili timamu na sababu isiyotiliwa mashaka ya wewe kumiliki bunduki. Ukipita hapo unapewa kibali cha kumiliki hiyo silaha lakini baada ya kupitia mafunzo ya namna ya kuitumia na hifadhi yake.

Angalizo: Kwa kuwa siku hizi kuna policcm kuna uwezekano ukaipata bila kufuata utaratibu nilioueleza (na ndio maana kuna watu wanaporwa SMG - ambo kisheria hairuhusiwi mtu binafsi kuimiliki - na machangudoa hotelini).
 
asante kwa maelezo mazuri,mimi nadhani utaratibu ulioueleza ndio mzuri na je wapi natakiwa kupata mafunzo ya jinsi ya kuitumia?
 
Mkuu umemaliza, hoja yangu ya awali ilikuwa ni ya kuchamgamsha bunge tu. Si unajua current issues zinazogonga vichwa vya magazeti.
 
Lazma uwe umepitia jeshi

Acha uongo. Sio Lazima.
Taratibu ziko hivi, Unaenda kwanza kwenye Maduka ya Silaha, Mzinga au Tanganyika Riffle, (haya yapo kikanda i guess, Mzinga wanalo Dar, Moro, Moshi na Arusha, Tanganyika Riffle iko pale Clock Tower Arusha na pia Dar wana Duka i guess) unanunua silaha yako unayoitaka, either Pistol, Bunduki za uwindaji au Bunduki za kulindia mashamba (with Lower Caliber i mean) then ukishanunua, unaenda kwenye serikali ya mtaa unaoishi, kamti ya ulinzi ya mtaa wako itakuandikia barua ambayo utaenda nayo kwa OCD wa kituo cha polisi cha wilaya yako, ukiambatanisha na barua yako ya maombi ya kumiliki silaha tajwa na sababu za kutaka kumiliki ukiziweka wazi.

Pale utapewa Form 4, utazijaza utaambatanisha na Picha 4 (passport size) then na ile barua ya kamati ya ulinzi ya mtaa na kopi ya risiti ya kununulia silaha yako.
ukimaliza utawasilisha kwa OCD na wao watayapitia maombi yako kwenye kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, kisha yakiita yatapelekwa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa then yakipita yataletwa DSM kwa msajili wa silaha, ambaye atakupatia leseni/kibali cha kumiliki silaha yako.

ukishapata kibali unaenda na original receipt yako kwenye lile duka ulilonunulia silaha yako nao wanakupatia unarudi zako home.hope umenielewa japo nimeelezea kwa kifupi, kama una swali unakaribishwa pia.
 
Acha uongo. Sio Lazima.
Taratibu ziko hivi, Unaenda kwanza kwenye Maduka ya Silaha, Mzinga au Tanganyika Riffle, (haya yapo kikanda i guess, Mzinga wanalo Dar, Moro, Moshi na Arusha, Tanganyika Riffle iko pale Clock Tower Arusha na pia Dar wana Duka i guess) unanunua silaha yako unayoitaka, either Pistol, Bunduki za uwindaji au Bunduki za kulindia mashamba (with Lower Caliber i mean) then ukishanunua, unaenda kwenye serikali ya mtaa unaoishi, kamti ya ulinzi ya mtaa wako itakuandikia barua ambayo utaenda nayo kwa OCD wa kituo cha polisi cha wilaya yako, ukiambatanisha na barua yako ya maombi ya kumiliki silaha tajwa na sababu za kutaka kumiliki ukiziweka wazi. Pale utapewa Form 4, utazijaza utaambatanisha na Picha 4 (passport size) then na ile barua ya kamati ya ulinzi ya mtaa na kopi ya risiti ya kununulia silaha yako.

Kuna uwezekano wa maombi yako kukataliwa? ikitokea maombi yamekataliwa huwa inakula kwako au unarudishiwa fedha zako zote!! Baada ya kukataliwa unaweza kufanya maombi tena baadaye?
 
hawawezi kukurudishia fedha zako,(maana silaha umenunulia dukani na sio polisi) kama yamekataliwa unaweza ku-apply tena na kwenye ile fomu utakayopewa polisi ina sehemu unatakiwa kujazwa kama ushaomba silaha na kukataliwa ama la. kwa hivo ukikataliwa utakuwa umepewa sababu na may b utaitwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya wakuhoji.
 
Acha uongo. Sio Lazima.
Taratibu ziko hivi, Unaenda kwanza kwenye Maduka ya Silaha, Mzinga au Tanganyika Riffle, (haya yapo kikanda i guess, Mzinga wanalo Dar, Moro, Moshi na Arusha, Tanganyika Riffle iko pale Clock Tower Arusha na pia Dar wana Duka i guess) unanunua silaha yako unayoitaka, either Pistol, Bunduki za uwindaji au Bunduki za kulindia mashamba (with Lower Caliber i mean) then ukishanunua, unaenda kwenye serikali ya mtaa unaoishi, kamti ya ulinzi ya mtaa wako itakuandikia barua ambayo utaenda nayo kwa OCD wa kituo cha polisi cha wilaya yako, ukiambatanisha na barua yako ya maombi ya kumiliki silaha tajwa na sababu za kutaka kumiliki ukiziweka wazi. Pale utapewa Form 4, utazijaza utaambatanisha na Picha 4 (passport size) then na ile barua ya kamati ya ulinzi ya mtaa na kopi ya risiti ya kununulia silaha yako.
ukimaliza utawasilisha kwa OCD na wao watayapitia maombi yako kwenye kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, kisha yakiita yatapelekwa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa then yakipita yataletwa DSM kwa msajili wa silaha, ambaye atakupatia leseni/kibali cha kumiliki silaha yako.
ukishapata kibali unaenda na original receipt yako kwenye lile duka ulilonunulia silaha yako nao wanakupatia unarudi zako home.hope umenielewa japo nimeelezea kwa kifupi, kama una swali unakaribishwa pia.

shukrani,nadhani wengi wamepata kilichobola na sasa ni kuanzisha harakati ya kuipata hii kitu
JOTO HASIRA
 
Wewe ukija tutakumilikisha kisu manake nna wasiwasi utaanza kuua paka na mbwa
 
asante kwa maelezo mazuri,mimi nadhani utaratibu ulioueleza ndio mzuri na je wapi natakiwa kupata mafunzo ya jinsi ya kuitumia?

Ukipewa kibali cha kuinunua utapewa na mafunzo na polisi kabla hujakabidhiwa bunduki yenyewe.
 
kwa tanzania mtu anatimiza miaka 50 hajui ata matumizi ya silaa wenzetu wanazaliwa nazo.
 
Back
Top Bottom