Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Mkuu ninavyofahamu mimi process inaanzia kwenye serikali ya mtaa. Baada ya hapo ndo unaenda kwa katibu kata.

Tiba

.....hapo inamaana noti ya 10,000/- inachenjiwa 1000/- alfu kibao....
Sawasawa
 
Fatuma ikipigwa bastora ndo hutajua iko wapi wala usalama unafunguliwaje na wataichukua utakuwa na kesi ya uzembe wa kuitunza mkuu
 
Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?
Kuna mwanajeshi pale mtaani kwetu siyo mstaarabu, kwa miaka mingi sasa, kila mwaka mpya anapiga risasi hewani, analeta hofu kwa raia ambao wanaogopa risasi'
 
Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?

Mtafute TUTU VENGERE a.k.a Mh. Rage atakupa Utaratibu Wote.
 
ni kwa nia njema tu kama wengine wanavyomilikishwa' ama kuna sharti gani kumilikishwa?

Naona Unataka Kujipanga Kwa Vuguvugu la Mwakani. Nakupongeza Kwa Kuweza Kusoma Vizuri sana Alama za Nyakati!!!!
 
Mi nauza gobole ambalo niliachiwa na malehemu babu!
Bado liko katika hali nzuri na hata ukikosa risasi unaweza tumia goroli za chuma!
Kama utalihitaji ntafute tuongee biashara.
 
ni kwa nia njema tu kama wengine wanavyomilikishwa' ama kuna sharti gani kumilikishwa?

Kutokana na kukithiri kwa matukio ya watu kuuana kutokana na visa vya mapenzi na watu kutishia kwa silaha kwa kuwa anaimiliki kihalali masharti ya umiliki silaha yamekazwa kidogo.

Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye serikali yako ya mtaa/kijiji na kuandika barua ya kuomba kumiliki silaha,baada ya hapo utaelekezwa kwenye ofisi ya mkuu wa polisi wa Wilaya na Mkurugenzi wa usalama wa Wilaya,baada ya kukuhoji maombi yataelekezwa kwa RPC & RCO wa mkoa kwa ajili ya approval kama wataona una sababu mahususi za kupewa
hii kitu
images
 
Haya ndiyo majibu aliyohitaji mleta mada siyo mtu anaanzakukejeri
 
Mmmmh
Hapa umemaliza kile kitu;

Mwenzio anataka kila cha mfukoni.

Back
Top Bottom