Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?
Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?
Kwanini unahitaji kumiliki silaha?
ni kwa nia njema tu kama wengine wanavyomilikishwa' ama kuna sharti gani kumilikishwa?
Anza na rungu kwanza
Well said, ili afatie panga, thn gobole ndiposa bastola itamfaa... Pia akimiliki bastola hatutakawia kusikia kamuufoosaro mtu!!!
ni kwa nia njema tu kama wengine wanavyomilikishwa' ama kuna sharti gani kumilikishwa?
Haya ndiyo majibu aliyohitaji mleta mada siyo mtu anaanzakukejeriKutokana na kukithiri kwa matukio ya watu kuuana kutokana na visa vya mapenzi na watu kutishia kwa silaha kwa kuwa anaimiliki kihalali masharti ya umiliki silaha yamekazwa kidogo.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye serikali yako ya mtaa/kijiji na kuandika barua ya kuomba kumiliki silaha,baada ya hapo utaelekezwa kwenye ofisi ya mkuu wa polisi wa Wilaya na Mkurugenzi wa usalama wa Wilaya,baada ya kukuhoji maombi yataelekezwa kwa RPC & RCO wa mkoa kwa ajili ya approval kama wataona una sababu mahususi za kupewa
hii kitu
![]()
Mi nauza gobole ambalo niliachiwa na malehemu babu!
Bado liko katika hali nzuri na hata ukikosa risasi unaweza tumia goroli za chuma!
Kama utalihitaji ntafute tuongee biashara.