Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?

Nenda ofisi ya Kamanda wa Polisi wa wilaya yako ujieleze utapewa utaratibu na pia wataangalia kama unatosha (una sifa) au unataka tu hiyo silaha ili ukaongeze kipato kwa ujambazi
 
ni kwa nia njema tu kama wengine wanavyomilikishwa' ama kuna sharti gani kumilikishwa?

Usalama gani unaotafuta wakati hata wezi hawawezi kuja kukuibia. Kwanza wewe ukipewa silaha ina maana utakuwa mashakani kuja kuibiwa hiyo silaha ya majambazi ili wakaitumie.
 
Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?

Kama si kwa sababu maalum kama vile kujilinda dhidi ya wahalifu......usidhubutu utakuya kujuta kwa nini ulijiingiza kwenye mambo hayo......siku zote utakuwa hauko free..............Sifa wakati mungine hupoza..........
 
Nenda ofisi ya Kamanda wa Polisi wa wilaya yako ujieleze utapewa utaratibu na pia wataangalia kama unatosha (una sifa) au unataka tu hiyo silaha ili ukaongeze kipato kwa ujambazi

sawa mkuu
 
Kutokana na kukithiri kwa matukio ya watu kuuana kutokana na visa vya mapenzi na watu kutishia kwa silaha kwa kuwa anaimiliki kihalali masharti ya umiliki silaha yamekazwa kidogo.

Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye serikali yako ya mtaa/kijiji na kuandika barua ya kuomba kumiliki silaha,baada ya hapo utaelekezwa kwenye ofisi ya mkuu wa polisi wa Wilaya na Mkurugenzi wa usalama wa Wilaya,baada ya kukuhoji maombi yataelekezwa kwa RPC & RCO wa mkoa kwa ajili ya approval kama wataona una sababu mahususi za kupewa
hii kitu
images
hizo process zote zinaanza kabla hajanunua au akiishanunua ndo anaomba kibali? Hebu mfafanulie kaka.
 
Mimi sijakuelewa kwa nini una mashaka na usalama umedhulum? Pesa ngeni na chafu? Au kama umepata pesa hama nenda mitaa ya wenye pesa
 
Mi nauza gobole ambalo niliachiwa na malehemu babu!
Bado liko katika hali nzuri na hata ukikosa risasi unaweza tumia goroli za chuma!
Kama utalihitaji ntafute tuongee biashara.

hapana' nataka kitu potable'
 
Nahitaji kumiliki bastola kihali, kipato changu kwa siku hakizidi tsh 10,000/= kwa siku. Wadau mnisaidie je naweza kuimiliki? Nifuate utaratibu gani?[/QUOTE Unauzoefu wa kumiliki silaha yeyote maana nyie chagga boys hamuachi kujilipua pindi mkiachwa na mademu wenu. Ni bora uanze na manati au kisu kile kilichopo kwenye kata kucha. Kwaushauri zaidi nenda Tanganyika Arms pale karibu na Benki ya Exim Moshi. Kuna silaha nyingi sana
 
Kutokana na kukithiri kwa matukio ya watu kuuana kutokana na visa vya mapenzi na watu kutishia kwa silaha kwa kuwa anaimiliki kihalali masharti ya umiliki silaha yamekazwa kidogo.

Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye serikali yako ya mtaa/kijiji na kuandika barua ya kuomba kumiliki silaha,baada ya hapo utaelekezwa kwenye ofisi ya mkuu wa polisi wa Wilaya na Mkurugenzi wa usalama wa Wilaya,baada ya kukuhoji maombi yataelekezwa kwa RPC & RCO wa mkoa kwa ajili ya approval kama wataona una sababu mahususi za kupewa
hii kitu
images

unatisha' umeamua kukichomoa kabisa ukakipiga picha' nataka kama hiki hiki.....'
 
Kutokana na kukithiri kwa matukio ya watu kuuana kutokana na visa vya mapenzi na watu kutishia kwa silaha kwa kuwa anaimiliki kihalali masharti ya umiliki silaha yamekazwa kidogo.

Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye serikali yako ya mtaa/kijiji na kuandika barua ya kuomba kumiliki silaha,baada ya hapo utaelekezwa kwenye ofisi ya mkuu wa polisi wa Wilaya na Mkurugenzi wa usalama wa Wilaya,baada ya kukuhoji maombi yataelekezwa kwa RPC & RCO wa mkoa kwa ajili ya approval kama wataona una sababu mahususi za kupewa
hii kitu
Ndugu yangu, lakini haya masharti si ndo yalikuwa hivi siku zote? Yamekazwa wapi katika hizo stages? Ila sikujua kwamba mwisho wa siku RPC ndio anapitisha maombi. RPC ni mtu mkubwa mno kupitia maombi ya sijui Horseshoe anaomba bastola, hivi hawana kazi za maana hawa watu jamani?

Na tunaposema wakiona unahitaji ndio watakupa kwa nini isiwe kwenye sheria ya wazi ni wakati gani unaonekana unahitaji? Nasikia mpaka uwe na kipato / mfanyabiashara mkubwa. Hivi jambazi akikuingilia Boko Bunju huko kama walivyomfanya Dr. Mvungi jambazi anakuwa amefanya research ya salary slip yako?

Halafu utaratibu wa kumiliki bunduki kwa nchi za wenzetu hauwezi kubadilika badilika ovyo kwa sababu eti visa vya kimapenzi vimezidi. Visa vyenyewe vitatu, na hakuna aliyefanya research kujua vimezidi by how much and why. Wanawake wanafyekwa mapanga na wame zao ma heathen upcountry huko kiiiiila siku, mbona wasiminye kumiliki mapanga? Wamekufa watoto shuleni jimbo la Connecticut USA nchi ikalia weee halafu wakabadili sheria. Hapa kwetu Kamanda Kova ana uwezo wa kuamua the gun law of the month. I am very frustrated na gun law ya Tanzania, vitu vyooote hapa kwetu havi make sense, why?
 
kwanza nunua hiyo silaha kwenye maduka yanayotambuliwa na serikali kisha iache hapohapo dukani mapaka upate kibali pili andika barua kwa mtendaji wa kata kisha kamati ya ulinzi na usalama ya kata itakujadili baada ya hapo barua itapelekwa polisi wilayani napo kamati ya ulinzi na usalama watakuita kwa mahojiano na mengine utayakuta huko.
 
Back
Top Bottom