Tarehe 03 Juni, 2023 Yanga inachukua kombe, kila mmoja aseme AMEN

Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.

Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....

Watanzania tusimame na Yanga kwani wanawakilisha Taifa

GENTAMYCIME
Mlima ni mrefu sanaaa.....Kwa kujifariji it's owk
 
Mkishindwa, mnataka tushindwe wote. Hii ni tabia za wachawi. Wachawi wakubwa nyie
Mlongo mbna unaliaa?? Unashindwaa kujikazaa??
Unaniangusha bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kipigo kipo pale palee
 
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.

Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....

Watanzania tusimame na Yanga kwani wanawakilisha Taifa

GENTAMYCIME
inshallah
 
Leo ni jmos tamu sana
17:00 Man city vs Man united (FA cup final)
22:00 USMA vs Yanga (Caf confederation cup final second leg)
 
Back
Top Bottom